kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,349
- 3,745
Sasa hizo GDP mnazoimba daily mbona haiwasaidii chochote wala kujenga chochote zaidi ya kukopa [emoji23][emoji23][emoji23].
Ile siku utaelewa GDP per capita inamaanisha mishahara ya watu, rudi hapa tukupigie makofi.
Wakenya wana mishahara mikubwa, ndio maana tuna disposable income ya kutembea ulimwengu mzima.
Ndio maana tuna pesa ya kununua magari mengi kuliko Tanzania.
Ndio maana wakenya wengi wanafanya safari za ndege za ndani kuliko Tanzania.
Ndio maana life expectancy ya Kenya iko juu kuliko Tanzania.
Ndio maana wakenya wengi wana stima kuliko Tanzania.
Ndio maana wakenya wengi wanashiba kuliko Tanzania.
Kukopa pesa ni hali ya dunia. USA, nchi tajiri namba moja, ndio hukopa ile pesa mingi duniani.
Lakini madhara aliyowafanyia Nyerere, alijaza akili zenu matope tu. Bongolala mtabaki maskini.