The Daily Nation(Kenya): Like others, Tanzania's Magufuli is bound to fail

Duuuuuuu. Hawa wenzetu huwa wanatulia kuandika. Sisi hapa tunakurupuka kutoa sifa za hovyo kwa ajili ya matumbo yetu.
 
Duude, msome tena mwandishi.
Huyu nimemsoma sana!! Tatizo ni watu kujiita analysts wakati wanafanyakazi kama astrologers. Ktk afrika kila anayejitahidi kuinua nchi, anatabiliwa kuanguka.
 
Mimi nadhani kama kuna watu wanaomsifia Rais John Magufuli na kama tunaona wanafanya vizuri, tujifunze kuona vizuri pia kama wakipatikana wengine wanaomkosowa. Kwangu mimi, wanaosifia na wanaokosowa lengo lao ni moja - kutaka aendelee kufanya vizuri.
Kukosoa ni muhimu saaana maana wanasiasa wetu wanajiinua sana! Tatizo la mwandishi, anamkosoa na kumuelekeza kwenye mambo ambayo yalikuwa hayafanyikazi nchini. Mtu anakutaka utumie mahakama na vyombo vya sheria wakati akijua vilikuwa havifanyi kazi ipasavyo!
 
Niliiona hii news, mataifa mengi ya Afrika yanafuatilia nini kitatokea kwa awamu hii kwa jinsi ilivyoingia kwa sifa nyingi.

Akifeli watamsema sana na CCM itaonekana ndio kikwazo kikubwa cha maendeleo
 
Viva Tanzania with Magufuli viva!
 
Tanzania is indepent country,thus she will continue to defend her independ and to stay far away from neighbouring enemies.
 
Una hakika unacho comment ndio kilichopo kwenye hoja hii [emoji844]
 
Singapore walitengeneza Sera mathubuti ya kufatwa .sio matamko au kauli mbiu
 
Jibu la tatizo hili unalomuonea Magufuli ni wakipekee .linaondolewa na mfumo Wa taasisi bora na imara .
 
M
Wameona wameshindwa kupenyeza wizi wao wanaanza kuhangaika magufuli anaakili sana wasidhani mwepesi kama wanavyodhani.
Pesi kama karatasi mkuu sema wewe umeweka nta kwenye akili yako usijue reality kwa makusudi na that's your ignorance
 
 

Tuna safari ndefu sana kufikia tunapopataka kama tutaendelea kuwa na watu kama wewe..sasa na wewe umekuwa very selective katika kumchambua huyo mwandishi..umeangalia very rare things na kuignore the rest kama rule of law na democracy au kwako wewe hivo vitu havina maana???usiwe mtumwa wa fikra kiasi hicho or else you wil find yourself in a deepp shit aome days
 
Kuna watu humu wanajifanya wanaijua sana demokrasia wakati ikitokea hata mmoja wa watoto wao wa kiume akachagau kuwa "shoga" nyumba zao hazitakalika!
 
Acheni ujinga na upuuzi wenu nyie wapumb.avu wa kutaka kumpa sifa huyu dikteta uchwara ambazo hastahili. Nchi imeshamshinda na ushahidi wa kutosha uko katika sekta mbali mbali nchi hata kusababisha Mwinyi kusema nchi inaenda kama gari bovu lisilo na usukani. Butiku kusema Rais Tembo hatufai nchini na Jaji Warioba kutamka kwamba nchi imepoteza mwelekeo. Kwanini mnakuwa waongo kiasi hicho!? Huu uongo wenu ni kwa maslahi ya nani mamburula nyie? Au hawa kina Mwinyi, Warioba na Butiku nao ni westerners!? Nchi haina madawa, ajira hakuna, Wafanyakazi Serikalini motisha ni SIFURI kutokana na jinsi wanavyonyanyaswa na hii Serikali ya hovyo. Uchumi nchini umeanguka kwa kipindi kifupi tu deni la Taifa Magufuli kalipaisha ndani ya miezi 7 tu kwa 55.8% sawa na 24 Trilioni 24 toka 43 Trilioni hadi kufikia Trilioni 67 lakini mamburula nyie bado mnamwaga sifa kwa huyu dikteta uchwara ambaye anaiangamiza nchi na sera zake za kukurupuka. Acheni kutumika kuangamiza nchi.

Jaji Warioba: Nchi imepoteza mwelekeo
 

Well said mkuu, ila mimi binafsi sifikiri aliye andika article hii ni mzungu, huyu atakuwa ni Mtanzania under an assumed name, kuna vihashiria vingi vya kuonyesha mtu mgeni ahusiki. I might be wrong, lakini ukweli ndio huo.
 

Mkuu kwani ukitumia lugha yenye staha unafikiri hutaeleweka au?
Taifa gani Duniani ambalo halina Deni, hata Amerika ina madeni lukuki itakuwa Tanzania!!!

Yaani nyinyi hakuna hata kitu +ve mnazungumzia kuhusu Serikali ya awamu ya 5 - JPJM in particular, na ukichunguza kwa umakini bila jazba utakuta mengine unayo sema humu hayana ukweli wowote!!

Mwenzenu ndiyo anakaribia mwaka tangu tumchague, baadhi yenu mnaleta dhana za kuonyesha as if nchi imemshinda, sasa nyinyi ma akina Dr. Strangelove tuwakabidhi Nchi kesho alafu baada ya mwaka mmoja tuje kushuhudia kama mmefanikiwa kubadirisha Taifa letu nyuzi miamoja themanini 4 the better - mmejaa maneno tu na lawama kila kona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…