The dark side of business

Pole Sana Mr,unapita
Uchawi upo ila kuna watu wanajifanya kama halijui hilo_uchawi upo na unafanya kazi amini nachokwambia
Wafanyabiashara 90% wanatumia uchawi
 
Unafanya biashara? Tuambie hizo siri za kishirikina mkuu
Mkuu usibishe kuna bar moja maarufu sana Dar sitak kuitaja niliambiwa kuwa mwenye bar uwa kila asubuhi anakuja kuchukua ule mchanga baada ya wahudumu kufanya usafi sikuamini nikaonyeshwa siku moja uyo tajiri alikuja na gari yake mm niliingia nikazuga na supu jamaa akaingia ofisin wakati huo watu wa usafi wanafnya usafi kweli walipomaliza kwa macho yangu nikashuhudia mchanga unafungwa vizuri anapewa boss anapanda nao kwenye gari akasepa nao wakati taka nyingne zinamahala maalumu zinatupwa na hiyo bar ni inajaza vibaya si weekend au kati ya week
 
Aisee ndio maana Tz ni kati ya top three katika ulozi Africa , majitu yanaroga sana .Ndio maana tunakuwa na taifa la ovyo ,si kazi si siasa si biashara ni mwendo wa ulozi tu , majitu ya ovyo ndio yanakuwa na status katika jamii na si kwa utashi , hardworking na creativity au ethics Bali ndumba na uchawi
Mchawi na mshirikina hafai kuishi , takataka kabisa hizi
 
Huyo kashatapeliwa, siku aanze kuwa na huduma mbovu aone wateja watakavyomkimbia hata akusanye mchanga ujazo wa fuso hatoboi
 
Mada zenye mashiko lazima zilete ubishani. Ni hulka kabisa ya binadamu kubisha...

Sasa kitu kama uchawi watu wasibishe? Haiwezekani aisee...
 
Jina la kitabu cha wahindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…