The dark side of business

Kuna kitu najifunza
 
Ni ngumu sana kwangu kuamini kwenye uchawi kwasababu ni dhana ambayo haijathibitishwa kisayansi....

Lakini potelea pote...

Wewe kuamini uchawi hakuniathiri mimi kwa namna yeyote.

Na kama ulivyosema, siwezi kujua kila kitu.

Ubishi ni lazima kwasababu hata mimi nikileta mada yangu inayopinga uchawi, mnaoamini mtaona nakosea, mnavuta upande wenu.

Hili jambo ni gumu kuliko tunavyolichukulia mkuu
 
Wako na wateja wengi,tena kuna wateja wakifanikiwa mambo yao wanawaomba waganga wawajengee nyumba kama shukuran
Sasa hapo kilicho jenga nyumba si ni watu.

Na wala sio hayo mapepo, mizimu, majini au mashetani ya kiuganga.

Bado pointi ni ileile, kilichomfanikisha huyo mganga ni watu waliomjengea nyumba, na wala si hayo matunguli yake na mauganga yake.

Huo uganga niwa kuwahadaa tu watu na kuwadanganya, Lakini hauna nguvu yoyote ile ya kutoa utajiri.

Hivyo, Hakuna utajiri wala mafanikio ya kiuganga, kishetani au kichawi.
 
Infropreneur Tanzanian Dream

Achana na infropreneur na uhakika na asilimia mia tano hana hata milioni mia bank, tena hiyo nyingi hata 20 tu hana.
Mwanzoni i was brainwashed na forbes, hawa motivation speaker kwamba usiogope anza kidogo kidogo fikirk positive.
I have seen the reality, nilipoteza 5 trucks za transit. I had over 400 million ,ikapukutika. Strange wenzako wanakuangalia mpaka nilipokuja kuambiwa na mtu mwingine mambo yanavyoenda.

Kuna watu unawakuta kwenye biashara wamestick hapo hapo hawataki kukua ,mwanzo nilikuwa nawashangaa sana .
 
By the way twende kwa hao Infropreneur matajiri wake ,warren buffet, etc etc

Warren buffet anakula nyama za watoto na damu ya binadamu.
Billy gates anaua kila siku, chanjo mnaziona msaada ila kuna watu wanakatika sana .pia kumbuka naye ni mmoja wa wateja wa epstein island waliokuwa wakienda kulawiti watoto na kula nyama zao na kunywa damu.

Dunia ni zaidi ya ufikiriavyo
 
Kama kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina kautumie kwa nguvu zako zote. Uwazidi matajiri wakubwa duniani kama Mo Dewj, Bakhressa, Aliko Dangote, Elon musk n.k

Sio unakaa hapa JF kusimuliana stori uchwara na kuhubiriana utajiri wa kufikirika tu.
 
Leta uthibitisho hapa kwamba warren Buffet anakula nyama za watoto na damu ya binadamu.

Pia leta uthibitisho hapa kwamba Billgates anaua kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…