secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Naam!secretarybird kijana wangu
Biashara ina mambo kede wa kede.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam!secretarybird kijana wangu
kila kiumbe kitakata pumzi muda ukifika kitakufa.Itoshe kusema wewe ni kipapa na pumzi zinakuhadaa
Unathibitisha vipi hao waganga walipata hayo mashamba na mifugo kwa njia ya uganga?Ona haka kajinga,sasa ujue waganga wengi tu wanamiliki mijengo yao hapa town na huko vijijin wana mifugo na mashamba ya kutosha
Hzo nyumba za udongo ni sehemu ya kazi
Kuna kitu najifunzainaendelea
Ilipoishia......
Ngurumo alinipa maelekezo ya namna ya kuwatoa wale ng'ombe na jinsi wale viumbe watakavyo sababisha ajali na baada ya hapo watakuwa ni mali yangu,watanifata kila mahali na nitakuwa na uwezo wa kuwatuma popote unapotaka.............
Je hao viumbe ni akina nani? na je nitafanikiwa kuwatoa hao ng'ombe.......
Sasa tuendelee
Baada ya ngurumo kunipa maelekezo ya namna ya kuwatoa wale ng'ombe,ilinifikirisha sana,akili yangu ilienda mbali kidogo,ikabidi nimuulize,
"Hiyo ajali ikitokea huyo dereva atanusurika?
Ngurumo:Kama ana kinga anaweza kupona lkn kama hana kinga ni lazima atakufa
"Hii iliniogopesha sana"
Mm:kwani hakuna njia nyingine?maana naona Kama tunaenda kuua mtu asiye na hatia!
Ngurumo:kijana mbona una huruma sana,utajiri utauweza?....hao ng'ombe hawatolewi kwa kuchinjwa,wanatolewa kwa ajali hakuna njia nyingine(alisisitiza mzee ngurumo)
Baadaye kidogo akaniambia wewe hofu yako ni dereva kufa,basi usijali,nitaangalia namna ya kumkinga lkn hiyo ni gharama nyingine,itabidi ulipie...
Ajali nyingi ni za mchongo
Mara nyingi ajali ikitokea tunaishia kumlaumu dereva lkn nyuma ya pazia,ajali nyingi ni platform ya kutolea kafara,ukipanda chombo chochote cha moto,iwe ni basi,meli,treni,ndege hata iwe bodaboda usidharau,fanya sala na ukishuka ushukuru....
Ile siku ikafika
Mzee ngurumo alinipeleka kwa mtu wake ambaye alikuwa ni mfugaji,kwa kuwa alikuwa tayari ameshampanga,tulimkuta anatusubiri
Ngurumo:unaona jinsi ng'ombe wake walivyo wakubwa,ndio maana nikakuleta huku.
Nililipa 1.6M,kila ng'ombe alinicost laki nane,dereva akaja,tukawapakia.
Safari ikaanza
Mimi na mzee ngurumo tulipanda pikipiki,tukatangulia mbele,jamaa anatufata kwa nyuma,moyoni niliwaza kile kinachokwenda kutokea......tulitembea Kama dk 15 hv, ngurumo akatoa kifuko mfukoni kilichokua na unga,tulipofika njia panda akamwaga ule unga na Kuna maneno akayasema...,ilitokea Lori hz tipper za mchanga iko moto vibaya ikaigonga ile canter ubavuni kwa nyuma,kwasababu ya speed ile canter ilienda chini,lile lori likaingia kwny mtaro.
Wakati huo sisi tumepark pikipiki tunaangalia ile ajali,nikawa nawaza kwa mzinga ule sidhani Kama Kuna mtu atatoka salama,nilianza kujiskia vibaya.......
Ngurumo:twende tukacheki Kama wale ng'ombe wamekufa au la!
Watu walikuwa wameshajaa eneo la tukio,mzee ngurumo alienda moja kwa moja kutazama ng'ombe,Mimi nilienda kucheki wale madereva,yule wa Lori alikuwa mzima amekaa chini,yule aliyebeba ng'ombe walimtoa kwny gari wamemlaza chini,dah!nikasema kimoyo moyo"huyu atakuwa ameshavuta.....
Ghafla mzee ngurumo akanishika begani,akaniambia kijana" deal done"(huku akitabasamu)
Mm:mbona sasa yule dereva amekufa?(nilimuuliza kwa huzuni)
Ngurumo:yule hajafa amezimia tu.
Tulifanya mchakato wa kuwapeleka hospitali na kweli yule bwn alikuwa hajafa.
Baadaye kidogo tulikodi gari nyingine,tukabeba wale ng'ombe,tukaenda kuwazika.
Ngurumo:Sasa kila kitu kipo sawa..naomba urudi nyumbani ikajiandae maana usiku wa leo(ilikuwa alhamisi)wale viumbe watakuja,ila naomba uzingatie haya masharti matatu 1),usimwambie mtu yoyote mambo haya 2)usimguse mwanamke kwa miezi sita na baada ya hapo itakubidi uoe maana zinaa na utajiri havipatani na 3)kila siku ya alhamisi usiku,utakuwa unachoma udi,dukani na nyumbani kwako(mzee ngurumo alimaliza kutoa maelekezo)
Haya masharti sikuyaona Kama yana ugumu wowote ila lile sharti la pili kwa sehemu niliona ni kipengele 😀
Nikarudi home
Nimefika home nimechoka,nikaweka mazingira vizuri kwa ajili ya ugeni wa vile viumbe,nikaingia gheto(bed room)nikachoma udi za kutosha,kwasababu harufu ilikuwa kali ikabidi nitoke nikalale sitting room,nilipitiwa na usingizi mzito,niliamshwa na mlio wa simu,kucheki nani ananipigia,kumbe ni mtu wangu wa dukani,nilimpa maelekezo wakati wa kufunga achome udi za kutosha,baada ya Kama nusu saa aka nitext"boss nimeshachoma na duka tumeshafunga"
Nikacheki saa,ni saa mbili na nusu usiku,ghafla nikaskia mlango unagongwa..........mapigo ya moyo yalianza kunienda mbio,nikajisemea ndio wale viumbe wamekuja...nikawa najiuliza hivi viumbe zipoje,sura zao zipoje?nilijiuliza bila majibu....mlango ulizidi kugongwa....nilisogea pale mlangoni huku natetemeka..........................
******************************
Nilitamani nimpigie mzee ngurumo walau anipe neno moja la kunitia moyo maana nilihisi kuishiwa nguvu......nini kitajiri baada ya kufungua mlango?...........stay there!
Wako na wateja wengi,tena kuna wateja wakifanikiwa mambo yao wanawaomba waganga wawajengee nyumba kama shukuranUnathibitisha vipi hao waganga walipata hayo mashamba na mifugo kwa njia ya uganga?
Ni ngumu sana kwangu kuamini kwenye uchawi kwasababu ni dhana ambayo haijathibitishwa kisayansi....Unless utumie neno jingine tofauti na KUBISHA, haueleweki kidogo hapa.
Dhana nyepesi ya kubisha ni kuamini kuwa unachokifahamu wewe nduo SAHIHI kuliko kile ulichosikia wengine wakisema ama kushudia.
Kwanini unahisi wewe ndio utakuwa SAHIHI kuliko wengine wote linapokuja swala la mada za kichawi.?
Unahisi wewe kwa umri wako huo (wasasa) ana ule utakaoishi hadi kufa kwako, inawezekana ukapitia na uyajua kwa USAHIHI yote wayopitia binadamu wengine ulimwenguni.?
Wewe tu ndio upo sahihi, wengine ni waongo as long as story zinahusu uchawi?
Ngoja nikasome vzr sasaNaam!
Biashara ina mambo kede wa kede.
Mjomba unaitafuta jela.toka niliposhuhudia mtoto mchanga anafukiwa akiwa hai kwa ishu za kafara za matajiri. sina hamu na binadamu unaweza kuwa unamuheshimu mtu kumbe ni mtu wa hovyo kabisa. usenge mtupu. tunaipenda dunia kama tunaishi milele
Sasa hapo kilicho jenga nyumba si ni watu.Wako na wateja wengi,tena kuna wateja wakifanikiwa mambo yao wanawaomba waganga wawajengee nyumba kama shukuran
Madam upo?Ukimaliza kuhadithia, utanipa namba ya aliyekuwa mganga wako huko nyuma
Thanks.. let me practice hizi kanuniPale kwny lengo la uzi nilisema"mafanikio bila giza inawezekana"so naamini unaweza kutoboa kwa kupita light side,ila kanuni za kiroho giving,timing,risk taking, concealment,believing etc zinaleta matokeo bila kujali upo upande gani.
Kama kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina kautumie kwa nguvu zako zote. Uwazidi matajiri wakubwa duniani kama Mo Dewj, Bakhressa, Aliko Dangote, Elon musk n.kInfropreneur Tanzanian Dream
Achana na infropreneur na uhakika na asilimia mia tano hana hata milioni mia bank, tena hiyo nyingi hata 20 tu hana.
Mwanzoni i was brainwashed na forbes, hawa motivation speaker kwamba usiogope anza kidogo kidogo fikirk positive.
I have seen the reality, nilipoteza 5 trucks za transit. I had over 400 million ,ikapukutika. Strange wenzako wanakuangalia mpaka nilipokuja kuambiwa na mtu mwingine mambo yanavyoenda.
Kuna watu unawakuta kwenye biashara wamestick hapo hapo hawataki kukua ,mwanzo nilikuwa nawashangaa sana .
Leta uthibitisho hapa kwamba warren Buffet anakula nyama za watoto na damu ya binadamu.By the way twende kwa hao Infropreneur matajiri wake ,warren buffet, etc etc
Warren buffet anakula nyama za watoto na damu ya binadamu.
Billy gates anaua kila siku, chanjo mnaziona msaada ila kuna watu wanakatika sana .pia kumbuka naye ni mmoja wa wateja wa epstein island waliokuwa wakienda kulawiti watoto na kula nyama zao na kunywa damu.
Dunia ni zaidi ya ufikiriavyo