Tanzanian Dream niko shy mpaka leo baada ya kuzunguka sana na tanzania yetu liamua kurud shy na kutulia na familia
Mkuu mi nipo Shy hapa Majengo, we ulisoma shule gani?Shy land hv uko shy kweli au ni jina tu,mimi na fabi tulisoma huko shy,anyway kile kitabu alinionyesha tu mzee sudi na kiliandikwa kwa kihindi.
Tuambie jina la mwandishi wa the dark path. Mungu atakubariki.Kile cha dark path,kimeandikwa kwa kingeleza lkn hiki cha pili kimeandikwa kwa kiswahili,kwny Episode ya 12,,nitaeleza kuhusu hicho kitabu cha pili...
Shy secMkuu mi nipo Shy hapa Majengo, we ulisoma shule gani?
Shy sec ndio wapi? Au shy bush huko Ukenyenge?Shy sec
Hicho kitabu kimeandikwa na mganda simkumbuki jinaTuambie jina la mwandishi wa the dark path. Mungu atakubariki.
Shy sec ndio shy bushShy sec ndio wapi? Au shy bush huko Ukenyenge?
Hapo ndio maskani pia.Tanzanian Dream niko shy mpaka leo baada ya kuzunguka sana na tanzania yetu liamua kurud shy na kutulia na familia
Nafkiri tuliopo doria ni wengi zaidiNiko kwenye doria ya kuwinda epsode ya 12
Nyie masentriz tulieni, orderly officer nipo hapa. In Charge wenu atawaletea mida si mrefu😀Nafkiri tuliopo doria ni wengi zaidi
Mwandishi Anaitwa Paul Owor, lakini kitabu bado ni mbinde hakipatikani.Watu wanasubiri vitabu
Watu wanataka muendelezo
Watu wapo likizo ni doria jf tu hapa.
Patam sana.
Hapa jf hapawezi kukosekana legend wa kukosa hiko kitabu kukileta Kwa njia ya e-book tungoje ngoja tuone mkuu atakuja kukileta.Mwandishi Anaitwa Paul Owor, lakini kitabu bado ni mbinde hakipatikani.