The dark side of business

The dark side of business

Kuna mtu anaitwa INFROPRENUER amekuwa akikosoa sana huu Uzi Hadi akafungua Uzi wake kupinga utajiri wa kishirikina, nimemwandikia kisa halisi cha kijana alimaliza form four 2022, akafeli MTIHANI wa Taifa kwa kupata div. Four ya 32,... LAKINI Leo anamiliki bajaj MBILI za abiria MPYAAA, kwamba ana MAONI Gani katika kisa hiki, naona kapotea
Unawatia aibu wenzio wanaotetea mambo ya imani, yaani kumiliki bajaji 2 mpya na kufeli form 4 unakuhusisha na ulozi.

Nini madogo kibao wametoboa na wana fuba zaidi ya hizo bajaji mbili ila sio watu wa ndumba ni hustlers tu mjini.

Tatizo lenu wengi mnahusisha ndumba na kila kitu kinachotokea, yaani kila kitu kwenu ndumba.

Kwanini usihusianishe kufeli kwake na kupata hiyo four ya 32 na kurogwa?? Ila hizo bajaji zake mbili mpya ndo yeye karoga.
 
EPISODE 12

Ilipoishia...
Nimefika home,nikafungua mlango,nikazama ndani...nakuta meza,makochi vimepinduliwa,tv imepigwa chini,vyombo vimesambaa kila mahali,yaani ndani kulikuwa hakutamaniki..nilijiuliza kitu gani kimetokea mle ndani,sikupata jibu.........

Sasa tuendelee
Nilijiuliza ni nani aliyefanya hivi na lengo lake ni nini?na mbona hakuna kitu chochote kilichoibiwa,niliwaza huenda atakuwa ni bijan.....nilijaribu kuita bijan........bijan lkn hakutokea... nilirudi pale sitting room walau niweke kochi vizuri nilale maana kule chumbani kulikuwa hakufai,nilijaribu kuvuta usingizi pale kwenye kochi lakini wapi,nikakumbuka kile kitabu alichonipa mzee fabi(maana tangu amenipa,sikupata muda kabisa wa kukisoma)

Nikafungua begi,nikatoa kile kitabu nikaanza kukisoma usiku uleule.

Kama ningesoma hiki kitabu kabla,basi hakika nisingepita hii njia.

Hiki kitabu kilifunua sana ile dark side na namna inavyofanya kazi,kiliongelea maisha ya underground,uhusiano wa ulimwengu wa giza na dunia,magonjwa na ajali za kutengeneza na mambo mengine mengi.....

Kitu ambacho kwangu kilikuwa interesting kwenye kile kitabu ni kuhusu aina ya chakula wanachokula huko underground,chakula chao ni damu...sio damu ya mbuzi,sio damu ya ng'ombe,ni damu za watu na Kilichonishtua zaidi ni pale mwandishi alipotaja siku maalumu ya watu kutolewa kafara na makundi ya watu ambao ndio chakula cha kuzimu.

Kwenye ile list,washirikina ndio waliongoza,hawa washirikina ndio wale wanao kwenda kwa waganga,wale wanaofanya mazindiko,matambiko,wachanja chale,wavaa hirizi,wavaa Pete za bahati,wachoma udi na wengine wote wenye imani za kishirikina.

Hiki kitabu kilinitetemesha,maana nilikuwa na hirizi za kutosha,nilikuwa na Pete ya bahati,nilifanya mazindiko pale dukani,nilikuwa nachoma udi kila alhamisi,yaani nilikuwa gizani totally.

Mwezi wa saba ndio mwezi wa watu kutolewa kafara,na wakati nasoma hicho kitabu ilikuwa ina karibia mwezi wa saba niliingiwa na hofu niliona kifo kipo karibu.

Kwenye hicho kitabu wameandika hadi kiasi cha lita za damu ambazo zinachukuliwa duniani na kupelekwa underground kila siku,lita nyingi zinapatikana hospitalini na kwenye ajali..

Niilisoma kile kitabu cha "madhabau za kuzimu" mpk mwisho ili nione mwandishi anatoa mwelekeo gani?je nifanye nini,Mimi ambaye nimesha dip ma feet into the ways of darkness.?je nitatokaje?

Usiku ule sikupata usingizi,nilisoma kile kitabu usiku kucha,nikiwa namalizia kusoma... ngurumo alinipigia simu.......

Ngurumo:habari kijana,umesharudi?
Mm:ndio mzee wangu!

Ngurumo:upo wapi sasa hv?
Mm:niko hapa nyumbani.

Ngurumo:umekuta nini hapo nyumbani kwako?
Mm:nimekuta vitu vyangu vimevunjwa vunjwa...

Ngurumo:kijana kuanzia sasa usilale hapo nyumbani,utakufa,wale viumbe wamekasirika sana,maana walitegemea utatoa ile sadaka,mwisho wa siku umefanya usaliti,wameondoka zao...
Aliendelea kuongea....yaani ulichokifanya itabidi ufanye toba kwa mizimu la sivyo,utakwenda na maji kijana..(alimaliza kuongea mzee ngurumo)

Baada ya ngurumo kukata simu,ilibidi nifanye utaratibu wa kuhama pale nyumbani,niliifunga ile nyumba nikaenda kuishi kwa mshkaji wangu ambaye nilisoma naye chuo,walau nivute vute siku nitafute nyumba nikapange.

Tangu wale viumbe walipoondoka,biashara zilianza kudorola,nilipambana kadri niwezavyo lakini mtaji uliendelea kukatika,kuna mfanyakazi alienda kuweka floti,alitekwa 20M ikaenda,yaani majanga kila kukicha,wafanyakazi walikuwa wanahoji "bosi nini kinatokea" nawajibu"ni upepo tu wa biashara"..duka lilipukutika,ile store nilifunga,kile kituo cha tofari alikuja tajiri mmoja akafungua kituo kikubwa sana cha tofari jilani na Mimi,wateja wote walihama,nilijaribu kupunguza bei ya tofari lkn haikusaidia,ule mzigo wa tofari niliuza kwa hasara na kituo nikafunga,mashine zote nikauza,hela niliyopata nikatia pale dukani kuziba mapengo..

Nilitumia akili zangu zote kuisaidia ile biashara isife lkn ilishindikana,duka liliendelea kupukutika,ilifika hatua siwezi huwalipa hata wafanyakazi ikabidi niwapumzishe,nikomae mwenyewe.....

wakati nahaha!walimwengu wananichora tu,kila mtu anaongea lake,mara kakosea masharti,mara amelogwa!kila mtu aliongea lake.......(wadau hakuna aibu kubwa kwa tajiri Kama kufilisika,nilishawahi kumsikia tajiri mmoja akisema bora kufa kuliko kufirisika) msemo Kama huu huwezi kuuelewa mpk upite mahali.

Niliwaza namna ya kuepuka ile aibu,nilimtafuta mtu nimwachie lile duka then mimi nitafute mishe nyingine ya kufanya(wakati huu,nilifikiria nitafute tu ajila maana biashara zimenipiga za uso)....

Hapa nimeeleza matukio mengine yaliyonipata siku za mbele.

sasa turudi kwa mzee ngurumo.
Kabla zile siku saba hazijaisha,zilikuwa zimebaki Kama siku nne tu,ngurumo aliniambia,kuna mambo mawili ya kufanya

1)inabidi ufanye toba kwa mizimu
2)baada ya toba ndio utoe wale ng'ombe wawili

Mm:naomba nisamehe sana na nina tubu kwa mizimu..(niliongea kwa unyonge)

Ngurumo:kijana toba ya mizimu haifanyiki kirahisi hivyo...

Ngurumo alinipa utaratibu wa namna ya kufanya toba

Ngurumo:toba inafanyikia ndani ya kaburi na si kaburi lolote,tunatafuta mtu aliyezikwa siku hiyo hiyo,tunachimba lile kaburi mpaka tumkute yule maiti kisha toba ndio inafanyikia huko chini ya kaburi.....sasa wewe leo nenda,kesho tutafanya hilo zoezi(alimaliza kuongea mzee ngurumo)

Turudi kwenye kile kitabu cha madhabau za kuzimu
Nilitafuta muda wa kumalizia kile kitabu,maana siku ile baada ya ngurumo kunipigia sikuendelea kusoma,nilikuwa na haraka ya kuhama pale home.

Mwishoni kile kitabu kiliongelea kuhusu agano la damu,yaani damu ndio ufunguo kwenye spiritual gates,damu zinazidiana uwezo,Kuna damu ya njiwa,damu ya kuku,damu ya mbuzi,damu ya ng'ombe,damu ya mwanadamu,damu ya bikra,damu ya nafsi na damu ya mwana wa M-ngu.

Ulimwengu wa giza wanatumia damu zote isipokuwa damu ya mwana wa M-ngu,ukiona umefika kiwango cha kutoa ng'ombe soon utaambiwa utoe mtu na mwisho wa siku utatoa nafsi yako kwasababu fidia ya damu ni damu.

Kama ulishawahi kumwaga damu yoyote ili upate msaada flani wa kiroho basi jua umeingizwa kwenye agano na hutaweza kutoka mpaka itumike damu yenye uwezo kuliko hiyo.

Damu zinazidiana nguvu
Nakumbuka kuna mfanyabishara jilani alizindika duka lake kwa kutoa kafara ya njiwa kwa ajili ya kinga ya kiroho lakini Kuna siku duka lilivunjwa akaibiwa kila kitu,aliporudi kwa mtaalamu wake,akamwambia wale wezi kabla hawajaenda kuiba walienda kwa mganga na wakatoa mbuzi,sasa ili vitu vyako virudi toa ng'ombe,jamaa hakuwa na gutts za kutoa ng'ombe,akakimbia mpk leo jamaa ana laani waganga.

Damu yenye nguvu kuliko damu zote
Damu ya mwana wa M-ngu ndio damu yenye nguvu kuliko damu zote,hii ni kafara iliyotolewa mara moja miaka mingi nyuma lkn ina nguvu hata sasa,ina uwezo wa kusafisha uovu wote,ina uwezo wa kulipa fidia ya damu yoyote ile,ina uwezo wa kuvunja maagano mengine ya damu.

Mwana wa M-ngu ndio njia

Kile kitabu licha la kueleza in deep mambo ya under world mwisho kilionyesha njia ya kufata ila kutokana na imani niliyokuwa nayo,sikufanya maamuzi ya kupita kwenye ile njia.

Turudi kwa ngurumo
Ile siku ya kufanya toba ilifika, akili moja inaniambia nenda katubu na akili nyingine inaniambia nisiende,kabla sijafanya maamuzi nilimcheki mzee fabi(nimpe report kuhusu kile kitabu)

Mm:nimesoma kile kitabu
Mzee fabi:umekielewa?kwa maana kina ujumbe sawa na kile cha dark path!

Mm:nimekielewa ila kule mwishoni ndio kuna utata

Mzee fabi:nimefanya biashara kwa miaka zaidi ya 30,huko nyuma nilianguka mara nyingi lakini nilipoijua njia,biashara zangu zilifanikiwa sana....wewe sasa ni kama mwanangu sina haja ya kukuficha kitu...

Mzee fabi alinifungukia mambo mazito sana
Mzee fabi:mimi nilikuwa na watoto watatu wa kwanza wa kiume,wapili wa kike na watatu ndio huyu fabi...aliendelea kusema....hawa watoto wawili walifariki siku moja kwenye ajali ya gari...hii ajali ilitokea siku moja baada ya mimi kutoa kafara ya ng'ombe kwenye harakati zangu za utaftaji(aliongea mzee fabi kwa huzuni Sana)

Mzee fabi:mimi pia nilipita unapopita ndio maana sichoki kukusaidia,wazazi wako walishafariki mimi sasa ndio Kama mzazi wako(aliongea mzee fabi huku akijifuta machozi)
Aliendelea kusema .....nguvu za giza zimeharibu maisha ya watu,mwanzoni utaona kufanikiwa lakini mwishoni huwa ni majuto(mzee fabi aliongea mambo mengi kwa kiasi ambacho nilishawishika kuichagua ile njia)

Mzee fabi alinipa namba ya Mtumishi ambaye alikuwa karibu na mahali nilipo na rasmi nikampokea mwana wa M-ngu(the king of light)

Anguko la kibiashara
Baada ya kumpokea mwana wa M-ngu,nilimtafuta ngurumo ili nimwambie sitaweza kuendelea na hayo mambo ya giza,saa hii nilikuwa na kaujasili kidogo.
Ngurumo alitoa vitisho lakini haikusaidia kubadili maamuzi yangu.
Biashara zangu zilianguka vibaya kama nilivyoeleza huko nyuma,yaani kwa ufupi zile mali za giza zilipotea nikabaki na kile tu ambacho ni jasho langu halisi.

Nilibaki na nyumba mmoja ambayo ndio ile niliyohama kwa kuwahofia akina bijan,hii nyumba ilifanyiwa maombi mazito ili kuondoa roho ya mauti na baadaye nilikuja kuiuza kwa ushauri wa mzee fabi,aliniambia uza hiyo nyumba kisha nunua nyumba ya kawaida then kiasi kitakachobaki ninunue treasury Bonds.

pia nilibakiwa na zile fremu 8 na apartments mbili nyuma ya zile fremu,nilipangisha na kwa mwezi nikawa navuta 1.2M na ile bond navuta 0.8M kwa mwezi nikawa naingiza 2M,nilikusanya hii hela kwa miaka miwili nikaanzisha store ya hardware ambayo ndio niko nayo mpaka sasa.

Maneno kuntu ya mzee fabi
Hili wazo la kufanya hardware alinipa mzee fabi,nakumbuka huko nyuma aliwahi kusema "watu wanafikiri nimefanikiwa kupitia hardware" si kweli,hizi hardware ni kama cover,nyuma ya pazia mimi ni real estate investor,hizi hardware zote mbili niliuza nyumba ndio nikazifungua,alikuwa anaingiza 20M per month kwenye real estate,huyu mzee fabi alikuwa na kampuni ya ujenzi ambayo pia ni undercover,alikuwa ana tenda za ujenzi kila siku,alinifundisha under cover business strategy,alinifungulia codes za real estate,sitasahau kauli za huyu mzee,aliniambia "do business in order to become a great investor"

Wadau imebidi niufupishe uzi ili mambo mengine nayo yaendelee,tutaendelea kusomana humu humu jukwaani...kwasasa .....na sign out.

The end*

*****************************

Huyu mzee fabi alikuwa ni baba,mentor,coach,teacher...he was my role model in business and investing,ndiye aliyeshape most of my life philosophies,M-ngu amlaze mahali pema 😭😭

I dedicate this thread to my hero,mzee fabi"Joachim masawe"(RIP)

Also I dedicate this thread to the authors of the dark path and madhabau za kuzimu

Nikumbushe lengo la uzi

Sitaki upite dark side nataka upite light side(G-d side) kwasababu mafanikio bila giza yanawezekana.

LET'S GIVE GLORY TO THE SON OF G-D
TO THE KING OF LIGHT
TO THE SHINING STAR
TO THE KING OF PEACE

THE ONE AND ONLY

.............JESUS CHRIST............

Khodahafez
 
**********************************

Huyu mzee fabi alikuwa ni baba,mentor,coach,teacher...he was my role model in business and investing,ndiye aliyeshape most of my life philosophies,M-ngu amlaze mahali pema 😭😭

I dedicate this thread to my hero,mzee fabi"Joachim masawe"(RIP)

Also I dedicate this thread to authors of the dark path and madhabau za kuzimu

Nikumbushe lengo la uzi

Sitaki upite dark side nataka upite light side(G-d side) kwasababu mafanikio bila giza yanawezekana.

LET'S GIVE GLORY TO THE SON OF G-D
TO THE KING OF LIGHT
TO THE SHINING STAR
TO THE KING OF PEACE

THE ONE AND ONLY

................JESUS CHRIST..................

Khodahafez
Sasa kwa waislam ambapo hakuna damu ya mwana wa Mungu nao wanafanyaje
 
Bado hujaandika kuhusu 7natural laws
Story ikiisha,nitaweka kanuni saba za kiroho,ambazo hazifungamani na imani,dini wala mila yoyote,hizi ni natural laws ambazo M-ngu aliziweka ili kutusaidia ku run maisha,ila wajanja wachache(waganga,wanajimu,wachawi,washirikina na waabudu shetani wote) wanazitumia na kupata matokeo,harafu wanakuja kusema ni nguvu za giza ndio zimewasaidia,kumbe ni hzo 7 natural laws.
 
Nikuulize kitu mbona kwenye kuandika Mungu au God wew unaandika M-ngu au G-d what's the reason behind?
 
Okay sawa bosi, ukipata muda usisahau kufungua codes za kufanikiwa kihalali na ile ya wahindi kutushikia akili sisi watu weusi na kutu-manipulate mkuu.
Hicho kitabu cha wahindi,nitamtafuta mzee sudi ijapokuwa tupo mikoa tofauti ila nina uhakika wa kumpata,nikimpata nitarudi Tena hapa na uzi maalumu kuhusu hicho kitabu..
 
Back
Top Bottom