The dark side of business

kweli.

hata mtu mwenye imani za kishirikina anaweza kutajirika, juhudi binafsi na mambo yaliyo nje ya uwezo wake yakimuendea sawa anatajirika

shida mtu kama huyu atasambaza habari za uongo kuhusu utajiri na watu watamuamini, si wanaona hela anazo?

ila sio vibaya, si tunajua tayari kwamba utajiri haubagui imani/mitazamo ya kiroho?

kila mtu ashinde mechi zake
 
Hahahahahaha
 
sasa wanatajirika kwasababu ya imani/ibada zao au foul wanazojulikana kucheza kama kutolipa wafanyakazi na kutumia ile taswira kandamizi ya 'wahindi wana akili kuliko waafrika' kujizolea upendeleo kwa wanasiasa?

hayo yakiwa ni machache....
 
Tanzanian Dream huu muendelezo mboni km unatoka kwenye reli mkuu?

Tulichokitarajia na Heading inavyosoma na ulichoelezea mwanzo mboni kwenye muendelezo vinaanza kupingana pingana hivi, umeeleza in general summary kitu kilichotakiwa uelezee in detail unasema pale mwanzo Baba wa mshikaji wako alikua guru wa mambo fulani na wahindi wana mambo fulani meusi meusi ulipokuja kuendelea ukaficha white hujaelezea chochote na wala hujataka tujue chochote, simulizi inakosa utamu ndio maana nikakuuliza jamaa wamekuwahi PM usiwachome?

Sikia mkuu sisi hapa hatutaki hayo maelezo ya kwenye Ofisi yako madamu sijui kufukuza wafanyakazi na mengine tunataka urudi pale kwenye point ile ya mwanzo maana pale ndio umetuweka standby maana hii ya pili tunajua kilichofuata hukwenda kwa Mchungaji ulienda kwa Mganga, sasa acha hio rudi nyuma pale tuelezee kuhusu ulichoandika pale mwanzo kuhusu Mzee Fabi na Wahindi ulisema utaelezea mboni umeruka?
 
Jamaa washakufuata PM story ishapoteza utamu yaan wakishakufuata PM tu kwisha habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…