The dark side of business

The dark side of business

mkuu stori inafunzo kubwa sana,ila nilipenda kukuuliza swali, kwa uzoefu wako na mamb uliyoyapitia je haiwezekan kabisa ukaw unafanya biashara zako hv hv na ukatoboa!?
Mkuu

Mbinde inakuja kwa wanaokuzunguka mshindani au ndugu

Unaweza anza busineess fresh tu mambo yaka flowa ila ghafla wateja wanakata.

So unakuta husda za watu zinakushusha chini.
 
LUKA 4:5
Kisha shetani akamchukua hadi juu ya mlima mrefu akamwo nyesha kwa mara moja milki zote za dunia. 6-7 Akamwambia, “Uki piga magoti na kuniabudu, nitakupa uwezo juu ya milki zote hizi na fahari yake; maana ni zangu na ninaweza kumpa ye yote nita kaye.” 8 Yesu akamjibu, “Imeandikwa: ‘Mwabudu Bwana Mungu wako na kumtumikia yeye peke yake.’ ”
Maneno ya kuwafariji maskini choka mbaya kama wewe, ili muendelee kujifariji na ukapuku wenu.
 
Mkuu,

Mkuu kama ni njia ya Mungu unatakiwa kusali au kufanya namna gani kujikwamua na uchumi ulioapigwa spiritually?

Pia tofuati na Kwa wanganga na dhehebu kuna njia zipi safe zinaweza tumika ukajikwamua spiritually kama umepigwa na kitu kizito katika b'ness

Karibu.
Nafikiri ni kwa njia ya sadaka zaidi, majitoleo yenye nia njema kwa Mungu.
Sadaka yoyote inaleta matokeo chanya kama zilivyo hizo sadaka za ng'ombe za mzee ngurumo japo hizo sio sadaka za Mungu, hizo ni za miungu.
 
tupe elimu zaidi kuhusiana na binah and loyalty
Kama kuna hazina ya thamani ndani ya mwanamke basi ni hizo mbili yaani binah na loyalty....binah ni Kama spiritual antenna,inanasa taarifa in the realm of spirit, loyalty ndio inamsaidia mwanamke ku support divine vision ya mume wake,ndio maana vitabu vya dini vinasema usimwache mwanamke isipokuwa kwasababu ya zinaa....zinaa ndio inaua binah na loyalty ya mtu.
 
Wahindi Wana Imani kwamba mafanikio katika shughuli zao ikiwemo biashara yapo mikononi mwa Mwanamke... Bila shaka ndiyo mambo ya binah hayo...
 
Back
Top Bottom