Pluto thnker
Senior Member
- Aug 25, 2024
- 147
- 295
mkuu stori inafunzo kubwa sana,ila nilipenda kukuuliza swali, kwa uzoefu wako na mamb uliyoyapitia je haiwezekan kabisa ukaw unafanya biashara zako hv hv na ukatoboa!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuumkuu stori inafunzo kubwa sana,ila nilipenda kukuuliza swali, kwa uzoefu wako na mamb uliyoyapitia je haiwezekan kabisa ukaw unafanya biashara zako hv hv na ukatoboa!?
Maneno ya kuwafariji maskini choka mbaya kama wewe, ili muendelee kujifariji na ukapuku wenu.LUKA 4:5
Kisha shetani akamchukua hadi juu ya mlima mrefu akamwo nyesha kwa mara moja milki zote za dunia. 6-7 Akamwambia, “Uki piga magoti na kuniabudu, nitakupa uwezo juu ya milki zote hizi na fahari yake; maana ni zangu na ninaweza kumpa ye yote nita kaye.” 8 Yesu akamjibu, “Imeandikwa: ‘Mwabudu Bwana Mungu wako na kumtumikia yeye peke yake.’ ”
Hapo kwenye avatar yako, copy right yasamin,isipokuwa tu hayo macho.......Muendelezo please
Binah yeterah natun I'nashim,maana yake mwanamke amepewa kiasi kikubwa cha binah kuliko mwanaume.Tanzania Dream Ningependa Kufahamu Uzi Wanyuma Uligusia kidogo kuhusu Bina je inakuja kwa wanawake2 au hata na wanaume?
Unaweza kutoboa ila kuna level ukifika utakutana na vita ambayo bila spiritual backup hutoboi.mkuu stori inafunzo kubwa sana,ila nilipenda kukuuliza swali, kwa uzoefu wako na mamb uliyoyapitia je haiwezekan kabisa ukaw unafanya biashara zako hv hv na ukatoboa!?
Hahah... Aiseee.. Kumbe walikuwa wazuri sana.!! Halafu hapo hapo naomba kukuuliza mkuu. Hivi ilikuwa inawezekana kusex nao? Au huruhusiwiHapo kwenye avatar yako, copy right yasamin,isipokuwa tu hayo macho.......
Unaweza kutoboa ila kuna level ukifika utakutana na vita ambayo bila spiritual backup hutoboi.
Yasamin wakati ananivalisha pete,alinishika mkononi..they are tangibleNa pia walikuwa ni Tangible? (Yaani unaweza hata kumgusa au kumshika)? Au ni kama roho, kama upepo
Nafikiri ni kwa njia ya sadaka zaidi, majitoleo yenye nia njema kwa Mungu.Mkuu,
Mkuu kama ni njia ya Mungu unatakiwa kusali au kufanya namna gani kujikwamua na uchumi ulioapigwa spiritually?
Pia tofuati na Kwa wanganga na dhehebu kuna njia zipi safe zinaweza tumika ukajikwamua spiritually kama umepigwa na kitu kizito katika b'ness
Karibu.
Kama kuna hazina ya thamani ndani ya mwanamke basi ni hizo mbili yaani binah na loyalty....binah ni Kama spiritual antenna,inanasa taarifa in the realm of spirit, loyalty ndio inamsaidia mwanamke ku support divine vision ya mume wake,ndio maana vitabu vya dini vinasema usimwache mwanamke isipokuwa kwasababu ya zinaa....zinaa ndio inaua binah na loyalty ya mtu.tupe elimu zaidi kuhusiana na binah and loyalty
Huyo yasamin alikuwa kisu vibaya,lakini wazo la kula tunda kimasihara sikuwa nalo,maana sikuwa na uhakika kama wana papuchi au la! 😀😀Hahah... Aiseee.. Kumbe walikuwa wazuri sana.!! Halafu hapo hapo naomba kukuuliza mkuu. Hivi ilikuwa inawezekana kusex nao? Au huruhusiwi
Wahindi Wana Imani kwamba mafanikio katika shughuli zao ikiwemo biashara yapo mikononi mwa Mwanamke... Bila shaka ndiyo mambo ya binah hayo...Kama kuna hazina ya thamani ndani ya mwanamke basi ni hizo mbili yaani binah na loyalty....binah ni Kama spiritual antenna,inanasa taarifa in the realm of spirit, loyalty ndio inamsaidia mwanamke ku support divine vision ya mume wake,ndio maana vitabu vya dini vinasema usimwache mwanamke isipokuwa kwasababu ya zinaa....zinaa ndio inaua binah na loyalty ya mtu.
aisee, mkuu hi hatali,Mkuu
Mbinde inakuja kwa wanaokuzunguka mshindani au ndugu
Unaweza anza busineess fresh tu mambo yaka flowa ila ghafla wateja wanakata.
So unakuta husda za watu zinakushusha chini.