State Propaganda
JF-Expert Member
- Apr 25, 2024
- 542
- 1,286
Mimi huwa nakaa mbali kabisa na mtu anayeamini huu uharo.Hii mada ya Israeli ni taifa teule ,huwa sikubaliani nayo.
Huwa sijibizani nae hata akinitukana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi huwa nakaa mbali kabisa na mtu anayeamini huu uharo.Hii mada ya Israeli ni taifa teule ,huwa sikubaliani nayo.
Sio lazima uamini wewe Ila ndo ukweli, Israel ni taifa teule LA MunguMimi huwa nakaa mbali kabisa na mtu anayeamini huu uharo.
Huwa sijibizani nae hata akinitukana.
Inafikirisha sana Mkuu kuamini Israel ni taifa teule ,kivipi akati limejaa damu za watu sanaMimi huwa nakaa mbali kabisa na mtu anayeamini huu uharo.
Huwa sijibizani nae hata akinitukana.