State Propaganda JF-Expert Member Joined Apr 25, 2024 Posts 542 Reaction score 1,286 May 26, 2024 #21 Lagrange said: Hii mada ya Israeli ni taifa teule ,huwa sikubaliani nayo. Click to expand... Mimi huwa nakaa mbali kabisa na mtu anayeamini huu uharo. Huwa sijibizani nae hata akinitukana.
Lagrange said: Hii mada ya Israeli ni taifa teule ,huwa sikubaliani nayo. Click to expand... Mimi huwa nakaa mbali kabisa na mtu anayeamini huu uharo. Huwa sijibizani nae hata akinitukana.
ward41 JF-Expert Member Joined Apr 3, 2022 Posts 749 Reaction score 2,533 May 26, 2024 #22 State Propaganda said: Mimi huwa nakaa mbali kabisa na mtu anayeamini huu uharo. Huwa sijibizani nae hata akinitukana. Click to expand... Sio lazima uamini wewe Ila ndo ukweli, Israel ni taifa teule LA Mungu
State Propaganda said: Mimi huwa nakaa mbali kabisa na mtu anayeamini huu uharo. Huwa sijibizani nae hata akinitukana. Click to expand... Sio lazima uamini wewe Ila ndo ukweli, Israel ni taifa teule LA Mungu
Lagrange JF-Expert Member Joined Mar 7, 2017 Posts 2,365 Reaction score 2,732 May 27, 2024 #23 State Propaganda said: Mimi huwa nakaa mbali kabisa na mtu anayeamini huu uharo. Huwa sijibizani nae hata akinitukana. Click to expand... Inafikirisha sana Mkuu kuamini Israel ni taifa teule ,kivipi akati limejaa damu za watu sana
State Propaganda said: Mimi huwa nakaa mbali kabisa na mtu anayeamini huu uharo. Huwa sijibizani nae hata akinitukana. Click to expand... Inafikirisha sana Mkuu kuamini Israel ni taifa teule ,kivipi akati limejaa damu za watu sana