The earth is flat and is not rotating

Is what you have written a fact or your opinion?Usiwadharau viongozi wa dini,au unauhakika wao hawajasoma?"Generalization is very bad especially for a person who consider himself to be an educated person"
Kwa sababu tu viongozi wa dini uwajuao wewe hawajasoma haimanishi wote hawajaoma na hawana jibu la swali la Ordinary level kama hili lilioulizwa,garbage in garbage out.
Sometimes watu sijui mnatufuta tu kuongeza namba of post per day.
 
Mkuu hiyo avat yako si Galaxy hiyo? utakuwa mjuzi wa haya mambo.

Nishachangia nyuma huko.

Watu waliojishughulisha kujielimisha walishaacha kuamini kwamba the earth is flat kabla ya enzi za Aristotle miaka 2300 iliyopita.

Leo tuna man made satellite bado watu wanauliza suala hili?

Anayesema kwamba the earth is flat kashawahi hata kupanda ndege kwenda 30,000 feet above the ground?

Watu wanaongelea the curvature of spacetime and spooky action at a distance, sie huku wengine bado wanajadili if the earth is flat?
 
Kumbe ndio maana waliopinga mawazo ya "wengi" waliuwawa

Ukipinga jambo ambalo kuna kundi kubwa linaona liko "wazi" unaonekana kama hamnazo wakati unaweza kuwa sahihi vile vile

Kaazi kweli kweli!
 

Hii ni GPS PHOTO YA NDEGE halisi ikiwa angani, inaonyesha ni jinsi gani dunia ipo duara na siyo flat, hii inaonyesha mleata mada hajawahi safiri na ndege za kisasa na kuona uhalisia.
 

Attachments

  • FLIGHT PHOTO.docx
    FLIGHT PHOTO.docx
    3.4 MB · Views: 86
  • IMG-20131005-01323.jpg
    350.3 KB · Views: 141
Earth is spherical hili halina ubishi. Wazee wa flat earth society msife moyo, the UNIVERSE is indeed flat kama chapati and expanding indefinately.
 
Angalia post yangu ya hapo juu, nimekuwekea flight halisi inavyoonekana ikiwa angani, hiyo GPS image nilipiga mimi mwenyewe, ndege unayoiona nilikuwa ndani nikisafiri kuelekea US from london. unaweza kuona jinsi gani dunia ilivyo duara.



 
Sayansi na Dini ni tofauti msichanganye mada please!!!
 
mimi nakubaliana sana na hawa jamaa wa flat world. kuna baadhi ya vitu inabidi tutumie akili zetu kufikiri zaidi ya kupinga tu kila jambo ambalo lipo tofauti na ulivyosoma shule. kama dunia ni duara kama yai au mpira na inazunguka kwa kasi ya 460MPS ikitokea mashariki kuelekea magharibi isingewezekana kwa ndege kutua coz rubani asingeweza kulenga uwanja wa kutua. na kama kweli inazunguka kwa nini ndege ikisafiri kutoka Marekani hadi Ghana inatumia muda na kilomita ni zilezile haziongezeki wala kupungua?? sababu kama kweli inazunguka ungetumia muda mfupi sana kutoka magharibi kuja mashariki coz ndege ingenyanyuka tu juu kidogo then itue coz dunia imeshazunguka.
 



Majibu yameshatolewa na ushahidi wa kisayansi.
Pitia comments za watu humu kwa umakini.
Sayansi haidanganyi .
Ndio ufunuo wa mwisho kwa wanadamu ili ufalme wa Mungu ukamilike.

Tafakari vitu kwa maelfu vilivyogunduliwa na wanasayansi kwa usahihi utagundua kuwa wale sio politician.
Sayansi ikikosewa kwa kiwango unachofikiri inakuwa ni hatari sana.
Unapozungumzia chaji chanya na hasi ni vitu vya kufikirika tu lakini vimefanyiwa majaribio na tunapata matokeo makubwa ya umeme.
Hilo la umbo la dunia ni jambo dogo sana. Kuna mtu humu ameweka mpaka picha aliyopiga yeye mwenyewe akiwa anasafiri kwenda USA.
 
Hii ni GPS PHOTO YA NDEGE halisi ikiwa angani, inaonyesha ni jinsi gani dunia ipo duara na siyo flat, hii inaonyesha mleata mada hajawahi safiri na ndege za kisasa na kuona uhalisia.

mkuu kwahiyo nasafiri kwa ndege za kienyeji.... Kama Una ndugu au rafik ambaye Ni ruban jaribu kumuuliza
 

jaman hii Kwan real picha ya ndege au Ni animation Tu ya 3D.... Hii Ni picha ya kuchorwa... Na if u don't knw .. They use science to deceive you... Its all about mind control
 
jaman hii Kwan real picha ya ndege au Ni animation Tu ya 3D.... Hii Ni picha ya kuchorwa... Na if u don't knw .. They use science to deceive you... Its all about mind control




Vipi kuhusu function ya memory card,cd,flash n.k.Hapo sayansi unaitumia na kuiamini au ni Boko haram?
 

Bwana wee hiyo 6070km/hr si sahihi!
Kumbuka ndege ili iweze kutokea Uingereza hadi Marekani inabidi iinuke kutoka usawa wa bahari zaidi ya 13000ft, hivyo ndege itatembea umbali mrefu zaidi ukilinganisha na kitu kilichopo aridhini!

Hesabu hii ni wakati najifunza tafsiri ya diameter, tangent, radius, circumference na arc!
Halafu, achana na habari za imani kwenye sayansi utakuwa boko haramu bureeeeeee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…