The earth is flat and is not rotating

The earth is flat and is not rotating

little hulk

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2014
Posts
1,610
Reaction score
557
Habarini,

Katika pitapita zangu za kujua vitu nikakuta hii kitu kuhusiana na dunia kutokuwa ni duara na ni tambarale pia haizunguki katika muhimili wake kama tulivofundishwa huko shule za awali.

Kuna baadhi ya ushahid unaotokana na mazingira jinsi yalivo pamoja na udini kidogo...

1. kwa mazingira jinsi yalivyo:

Kwanza kuhusu "earth is not rotating" .... kawaida dunia inazunguka jua kwa muda siku 365 na hujizungusha katika muhimil wake kwa muda wa masaa 24 kumaliza mzunguko wake, na ndipo tunapata usiku na mchana.... (hivi ndivo navojua mm na wewe)

lakini kuna maelezo yanayo onyesha kuwa dunia haijizungushi bali jua na vilivo juu vinaizunguka dunia. proof wanaosema kwamba dunia haizunguki ni hii ya usafiri wa ndege.

Tuanze kwa kusema kwamba dunia inajizungusha katika muhimili wake kwa speed ya 6070 km/hr kutokea magharibi kwenda mashariki, ndio maana tunapata kuona jua linachomoza kutokea mashariki na kuzama magharibi.

Sasa tuchuke mfano ndege inatokea marekani (Washington DC) kwenda uingereza (London). Hivyo ndege inatoka magharibi kwenda mashariki. Umbali kutoka marekani mpaka uingereza ni 5934.6 km na inachukua masaa 7 na dakika 39, hivyo ndege husafiri katika umbali huo kwa 775.76 km/hr. Hivyo kama dunia inakuwa katika speed yake ya 1675 km/hr basi huu umbali ungeongezeka zaid maana dunia ingekuwa inazidi kwenda mbele kutoka magharibi kwenda mashariki na ndege hiyo kwa speed hiyo ya 775.76 km/hr. [lets assume kwamba umbali huo unatokana na speed ya dunia na speed ya ndege kutoka magharib kwenda mashariki]

JE, KAMA NDEGE INATOKA UINGEREZA KWENDA MAREKANI UMBALI UTAKAO KUWA COVERED NA NDEGE UTAKUWA SAWA NA WA MWANZO (5934.6 KM) KAMA DUNIA INAJIZUNGUSHA KUTOKA MAGHARIBI KWENDA MASHARIKI?

JIBU NI HAPANA, MAANA KAMA NDEGE INATOKA MASHARIKI KWENDA MAGHARIBI NA DUNIA INAZUNGUKA KUTOKA MAGHARIBI KWENDA MASHARIKI BASI UMBALI UTAPUNGUA MAANA DUNIA NA JUA ZITAKUWA OPPOSITE DIRECTION.

220px-Globespin.gif

Lakini kiuhalisia umbali utakuwa ni huohuo na masaa ya kusafiri yatakuwa ni hayohayo... HIVYO HII INAONESHA KUWA DUNIA HAIZUNGUKI.

Pili kuhusu "the earth is flat and not round".... bado kuna debate zinaendelea kuelezea kivipi dunia ni flat na sio duara kama tunavojua. Ila katika hili kuna maswali mengi sana, maana kuna issues za horizon, light, space and sky ceiling, land curvature ambazo mm mwenyewe binafsi naendelea kuzifatilia ila kwa sasa sina clue ambazo zitani support kuelezea kivip dunia ni tambarale.

Ila inasemekana dunia ina umbo la flat disk kama hii.

Un-flag-square.png

Hii ni bendera ya United Nations na ramani yake ya dunia iko tofauti na ramani ambazo tunazozijua. Hivyo inasemekana kuna siri katika shape ya dunia. flat earth society wanaamini kuwa dunia iko hivyo ila kwa pande nne sio round kama inavoonekana kwenye hiyo picha juu.

Pia kuhusu maji ya bahari kuna kuta za barafu zinashilia hayo maji. Hii inawezekana baada ya ile mada ya kuto kuwepo kwa south pole kule Antarctica.

Kunasemekana Antarctica ni kubwa kuliko tunavoiona katika ramani, pia ndiko kunakoaminika kuwa ni kitovu kitakocho onyesha kuwa dunia sio duara bali ni tambarale.

Maana hakuna ndege inayoruhusiwa kipita katika anga la Antarctica. Jiulize, Kina "NASA" wanadai wameenda mwezini, wametuma vifaa vya kisasa huko sayari mars na vyengine mbali zaid lakini wameshindwa kupita juu ya Antarctica kisa ni baridi kali... JIULIZE!!!!!!

2. Udini:

Katka udini nitazungumzia katika upande wa imani ya kikristo.

1. katika agano la kale yoshua alisimamisha jua. Yoshua 10: 12-13 "12 Ndipo Yoshua akanena na Bwana katika siku hiyo ambayo Bwana aliwatoa Waamori mbele ya wana wa Israeli; akasema mbele ya macho ya Israeli, Wewe Jua, simama kimya juu ya Gibeoni;

Na wewe Mwezi, simama katika bonde la Aiyaloni.
13 Ndipo jua likasimama, na mwezi ukatulia, Hata hilo taifa lilipokuwa limekwisha jipatiliza juu ya adui zao."

hii inaonyesha kuwa Jua ndilo linalozunguka dunia na sio dunia linazunguka Jua, Hivyo dunia haizunguki na iko stationary

2. katika agano jipya shetani alimchukua Yesu mpaka mahali pa juu na kumuonyesha ulimwengu wote:
Luka 4 : 5 -8

5 Kisha Ibilisi akamchukua hadi mahali pa juu, akamwonyesha kwa mara moja falme zote za ulimwengu. Huyo Shetani akamwambia,

6 Nitakupa uwezo juu ya falme zote hizi na fahari zake, kwa maana nimepewa hivi vyote; nikitaka kumpa mtu ninaweza. 7 Hivi vyote vitakuwa mali yako wewe, kama ukiniabudu."

8
Yesu akamjibu, "Imeandikwa: Utamwabudu Bwana Mungu wako, na utamtumikia yeye peke yake."

kama dunia ingekuwa duara basi ingekuwa haiwezekani kwa falme zote za ulimwengu kuonekana kwa mara moja.

3. malaika wanne katika kona za nchi:

Ufunuo 7 : 1

"1 Baada ya hayo nikaona malaika wanne wamesimama katika pembe nne za nchi, wakizizuia pepo nne za nchi, upepo usivume juu ya nchi, wala juu ya bahari, wala juu ya mti wo wote."

hii inaonesha kuwa dunia pia sio duara, maana kama ni round hizo pembe nne za nchi zitapatikanaje?. Hivyo dunia might be square or rectangle.

TUJADILI ZAID NI HAYA NILIYOYAKUTA KATIKA KUJUA ZAID...... THANKS
 
View attachment 216726

View attachment 216727

Ngoja waje wajuvi wa haya mambo, maana tunaambiwa kuwa kutokana na dunia kujizungusha katika mhimili wake kuna wakati tunakuwa kichwa chini miguu juu lakini hatuwezi kuhisi hali hiyo kutokana na nguvu za uvutano eti. Halafu kitu kingine inakuwaje uelekeo wa sehemu fulani (direction) uwe ni uleule asubuhi, mchana ama usiku wakati tunaambiwa dunia inazunguka?
 
Naongezea mbona bahari mito na milima hazihami?
 
Inaonekana umesoma sana ila elimu yako haijakusaidia kupambanua mambo! Fuatuilia kwa nini Aristotle alinyongwa alipowaambia ukweli Wagiriki!
 
Dunia ni round, hilo hata halihitaji ubishi, picha zipo nyingi zinapigwa kila siku kutoka angani.

Kila kitu kilichomo ndani ya atmosphere, binadamu na ndege vyote wakati dunia inazunguka, inazunguka navyo pia kwa hiyo usidhani ndege itaruka afu umbali upungue, ingekua hivo basi hata chini hapa tungekua tukiruka tunatua kwingine.. For as long as kitu kimo ndani ya atmosphere basi dunia inavozunguka na chenyewe kinazunguka vilevile kwa speed ileile...

Afu angalia satellites zilizoko angani, kuna satellite zinaitwa geostationery ambazo zenyewe hua zinaonekana kama zimesimama, zile satellite kwa kua ziko nje kiasi kwamba haziwezi kuzungushwa na dunia, hua zinapewa speed sawa na speed ya dunia, sasa kiukweli ni kama zinaanguka vile sema zinaonekana stationery sababu zinaenda kwa speed sawa na speed ya mzunguko wa dunia..

kama dunia ingekua flat hivi inategemea jua lingeonekana kama linazama kwenda chini?? si lingeonekana linapita tu kutoka kulia kwenda kushoto, sio kuonekana linatoka chini linakuja juu afu linaenda chini tena...

Afu watu NASA mnawaona kama mashetani, wanaofanya kazi pale ni watu ka wewe na mimi, yaweza kua ndugu yako au rafiki, sio watu walioletwa kutoka kuzimu wale kusema wanazuia ndege kupita Antarctica, mbona watu wanaenda kule kila mwaka, we aliyekwambia wanazuia ni akina nani?? hakuna evidence yoyote kule kua dunia haizunguki wala si duara..

Jamani nunueni hata telescope basi za bei nafuu mtumie kuangalia mwezi au sayari nyingine za karibu muone kua ni duara na hivi vitu vipo kweli sio kwamba vinaandikwa tu.. huwezi danganya science ambayo ndo leo hii inakusaidia wewe unatumia jamiiforums
 
Mkuu Dreson4, mleta maada ana ushawishi kiasi chake lakini pia nakubaliana na maelezo yako
naomba nikuulize swali la kizushi tu
kwahiyo hivyo vifungu vya biblia vina walakini au mleta maada ndio hajavisoma na kuvielewa vizuri ??

.made in mby city.
 
mkuu andika utafiti wako vizuri nenda kawa'challenge NASA unaweza ukaingia kwenye vitabu vya historia:majani7:kama hujaijua :smile-big:JF unaweza kurukwa na akili
 
kama utafiti huu umeufanya ww mwenyewe ndugu yangu big up sana make ni waafrica wachache sana wenye spirit za kuwa watafiti hasa kwenye vitu kama hv,ishu uloileta ni njema na inaleta ufikiriaji mpya kwenye brain zetu mm binafsi siwezi kukupinga wala kukuafiki make dunia yetu hii imejaa na illusions kibao ambazi watu au taasisi chache wanajua ukweli wa hvyo vitu kwa manufaa yao wao wenyewe.naamini kabisa hata hao wanasayansi ambao leo tunatumia ugunduzi wao walianza kama ww na wakafika huko lazima uumize ndonga,mm binafsi ni miongoni mwa watu wasioamini sana katka mfumo story yaani kwasababu inasemekana iko hvi basi tukae kujua ndo hvyo hvyo.BIG UP MKUU #little hulk
 
Mkuu Dreson4, mleta maada ana ushawishi kiasi chake lakini pia nakubaliana na maelezo yako
naomba nikuulize swali la kizushi tu
kwahiyo hivyo vifungu vya biblia vina walakini au mleta maada ndio hajavisoma na kuvielewa vizuri ??

.made in mby city.

Biblia naona jamaa alienda chaka kidogo, pembe nne za dunia haimaanishi dunia ni flat, kwani si kuna north,west,east na south!! Afu anavosema jua na mwezi vikasimama, hiyo ni lugha ya picha tu... Kama haamini dunia ni round akasome kwenye bibllia
Isaya 40:22 "Anakaa kwenye kiti cha enzi juu ya duara ya dunia, nao watu wakaao ndani yake ni kama panzi"
 
mkuu andika utafiti wako vizuri nenda kawa'challenge NASA unaweza ukaingia kwenye vitabu vya historia:majani7:kama hujaijua :smile-big:JF unaweza kurukwa na akili

Akienda NASA hata hawatomchukulia serious, watamcheka, unataka wamrushe hadi angani akaprove mwenyewe kua dunia ni round? hahaha siamini Africa tuko nyuma kiasi hiki hadi kitu kidogo kama dunia kua round ambacho kimekuwepo miaka zaidi ya mia bado tunakibishia... Wazungu hawapo kumdanganya mwafrika, serikali yao sawa inaweza ikafanya hivo lakini si wanasayansi mamilioni dunia nzima wote wanajua kitu hichohicho ati wote wawe wamepanga kuwadanganya..

Hahaha ndo ile wabongo wanakaa kusema mbongo akienda nje kusoma anawekwa darasa tofati kufundishwa uongo afu wazungu wanafundishwa ukweli, ujinga mtupu.... Sayansi ni ileile sio tu duniani, ulimwenguni kote, laws za physics ziko vilevile kila sehemu hazibadiliki
 
Unajua mleta mada amesoma mahali akaona ni vizuri kuileta watu waisome...hajasema lazma Iwe nikweli nakwamba wazungu walikua wanatudanganya sie waafrica...ametoa facts zake kama ulivyotoa zako...kulikua hakuna haja ya kumzodoa kama vile amelazimisha tuamini ya kwake... kitabu cha geography s kinatoka huko huko kwa mzungu ambacho anatumia kwanza
 
mkuu mimi natoa argument alivosema kua NASA wanazuia ndege kupita Antarctica which isnt a fact, we hujasoma replies zinavoonyesha jinsi gani watu wanaamini conspiracy theories?? we mtu akija leo akaanza kusema moja jumlisha moja ni nne si mbili utamchukulia serious?? afu argument sio kumzodoa ka unavofikiri, its simply kutokukubaliana kwa watu wawili, how is that a bad thing? soma reply yangu uelewe sio unajudge from the first sentence u see
 
Dunia ni round, hilo hata halihitaji ubishi, picha zipo nyingi zinapigwa kila siku kutoka angani.

Kila kitu kilichomo ndani ya atmosphere, binadamu na ndege vyote wakati dunia inazunguka, inazunguka navyo pia kwa hiyo usidhani ndege itaruka afu umbali upungue, ingekua hivo basi hata chini hapa tungekua tukiruka tunatua kwingine.. For as long as kitu kimo ndani ya atmosphere basi dunia inavozunguka na chenyewe kinazunguka vilevile kwa speed ileile...

Afu angalia satellites zilizoko angani, kuna satellite zinaitwa geostationery ambazo zenyewe hua zinaonekana kama zimesimama, zile satellite kwa kua ziko nje kiasi kwamba haziwezi kuzungushwa na dunia, hua zinapewa speed sawa na speed ya dunia, sasa kiukweli ni kama zinaanguka vile sema zinaonekana stationery sababu zinaenda kwa speed sawa na speed ya mzunguko wa dunia..

kama dunia ingekua flat hivi inategemea jua lingeonekana kama linazama kwenda chini?? si lingeonekana linapita tu kutoka kulia kwenda kushoto, sio kuonekana linatoka chini linakuja juu afu linaenda chini tena...

Afu watu NASA mnawaona kama mashetani, wanaofanya kazi pale ni watu ka wewe na mimi, yaweza kua ndugu yako au rafiki, sio watu walioletwa kutoka kuzimu wale kusema wanazuia ndege kupita Antarctica, mbona watu wanaenda kule kila mwaka, we aliyekwambia wanazuia ni akina nani?? hakuna evidence yoyote kule kua dunia haizunguki wala si duara..

Jamani nunueni hata telescope basi za bei nafuu mtumie kuangalia mwezi au sayari nyingine za karibu muone kua ni duara na hivi vitu vipo kweli sio kwamba vinaandikwa tu.. huwezi danganya science ambayo ndo leo hii inakusaidia wewe unatumia jamiiforums

labda tumuongezee tu kuhusu dunia kuzunguka na vitu vyote vilivyomo ndani.
mfano mzur ni pale nzi anapokuwa anafly ndani ya basi lililo kwenye mwendo, kwa idea ya mleta mada ilibidi nzi asiende sawa na basi na hvyo angejigonga kwenye kioo cha nyuma cha basi. but kama tunavyoshuhudiaga ni kuwa nzi nae huenda sawa na basi bila ya kujigonga.
 
Kwa nini iwe ndani ya basi linalokimbia Tu na sio nyuma ya Lorry semi-kichanja ? Inzi anaweza kukimbia akiwa kwenye trailor wazi la semi liendalo kasi ?
 
labda tumuongezee tu kuhusu dunia kuzunguka na vitu vyote vilivyomo ndani.
mfano mzur ni pale nzi anapokuwa anafly ndani ya basi lililo kwenye mwendo, kwa idea ya mleta mada ilibidi nzi asiende sawa na basi na hvyo angejigonga kwenye kioo cha nyuma cha basi. but kama tunavyoshuhudiaga ni kuwa nzi nae huenda sawa na basi bila ya kujigonga.

mfano mzuri
 
Back
Top Bottom