The earth is flat and is not rotating

The earth is flat and is not rotating

Binafsi sipingi habari za kupinga mawazo ya wengi, kuna habari nyingi sana hapa napinga mawazo ya wengi. Tumeshajibizana sana kwenye hoja za uwepo wa mungu, kitu kinachoaminiwa na wengi ambacho mimi sikiamini.

Kwa hiyo mimi huwezi kusema napinga wanaopinga mawazo ya wengi.Mimi ni mmoja wao hao wanaopinga mawazo ya wengi katika masuala fulani.

Lakini kama vile ambavyo hutakiwi kupinga mawazo ya wachache kwa sababu ni ya wachache tu, hutakiwi kupinga mawazo ya wengi kwa sababu ni ya wengi tu. Guru alisema "ain't nothing worse than a rebel without a cause".

Hii habari ya kusema dunia ni duara na inazunguka jua pia ilikuwa wazo la wachache. Kina Galileo walifungwa na kutiwa upofu kwa kusema hivyo, walikuwa wchache. Kanisa lilifundisha kwamba dunia ndiyo katikati ya ulimwengu, ndiyo maana mungu akaumba kiumbe chake special, mwanadamu, na kumuweka katika dunia.

Ukisoma historia ya Galileo na kitabu chake "Dialogue Concerning the Two Chief World Systems" utaona hayo.

Galileo Galilei - Wikipedia, the free encyclopedia


Ditto Copernicus

Nicolaus Copernicus - Wikipedia, the free encyclopedia


Ukisoma historia ya Giordano Bruno, mtawa aliyesema kwamba hata nyota ni majua mengine tu yaliyo mbali na kukosana na mafundisho ya kanisa mapaka akachomwa moto, utaona kwamba alishakuwa katika ukweli mpaka akachomwa moto, wakati ukweli ulipokuwa haukubaliki

Giordano Bruno - Wikipedia, the free encyclopedia

Kwa hiyo huko unakokusema kwa watu kutotaka kusikia habari za wachache (ambao wanaweza kuwa kwenye kweli) kuhusu suala hili tushakuvuka miaka ya 1500s. Miaka mia tano ishapita sasa.

Kwa nini tunataka kurudi nyuma miaka mia tano?

Watu wanaopinga dunia kuwa duara na kuzunguka jua wamesoma angalau historia na kazi za Aristotle, Galileo, Bruno, Brahe na Copernicus on the subject?

Au kujivunia ujinga tu?


Nimemsoma copernicus ... lakin je, umeshajaribu tafiti zingine znazoelezea maisha ya copernicus kufikia kutoa mchoro wake jinsi jua kuwa ndo iko center na dunia inaizunguka jua..?
 
Hahahaaaa wakati mwingine huwa nipo hivyo.

Ever had an out-of-body experience?

Fine tuning.
Chemical causation vs free-will
Objective moral values and duties ( Is child rape actually wrong - or good for the child rapist)
Evidence for No God?
Refute my evidence for God

You avoid everything - just like the rest.
 
Vipi kuhusu function ya memory card,cd,flash n.k.Hapo sayansi unaitumia na kuiamini au ni Boko haram?

Mkuu sijasema science ina fake vitu .... nilichomaanisha wataitumia ku deceive watu.... later on nitajaribu kuleta uzi wa project blue beam....
 
Ukienda kwa habari hiyo, hakuna kitu cha duara.

Maana duara ni a mathematical conception whose perfection cannot stand the mundaneness of physicality.

What's next? The moon landing did not happen and all those satellite photos are fakes?

mkuu wanasema "if u cant make it, then fake it"..... so no moon landing, all satellite photos are fake, no wow signal, no aliens and UFOs, no other extraterrestrial life..... tusubirie kinachokuja,,, Project blue beam... i think itakufumbua macho ukiifatilia
 
Biblia naona jamaa alienda chaka kidogo, pembe nne za dunia haimaanishi dunia ni flat, kwani si kuna north,west,east na south!! Afu anavosema jua na mwezi vikasimama, hiyo ni lugha ya picha tu... Kama haamini dunia ni round akasome kwenye bibllia
Isaya 40:22 "Anakaa kwenye kiti cha enzi juu ya duara ya dunia, nao watu wakaao ndani yake ni kama panzi"
JF ni nouma........salute Mkuu.
 
Majibu yameshatolewa na ushahidi wa kisayansi.
Pitia comments za watu humu kwa umakini.
Sayansi haidanganyi .
Ndio ufunuo wa mwisho kwa wanadamu ili ufalme wa Mungu ukamilike.

Tafakari vitu kwa maelfu vilivyogunduliwa na wanasayansi kwa usahihi utagundua kuwa wale sio politician.
Sayansi ikikosewa kwa kiwango unachofikiri inakuwa ni hatari sana.
Unapozungumzia chaji chanya na hasi ni vitu vya kufikirika tu lakini vimefanyiwa majaribio na tunapata matokeo makubwa ya umeme.
Hilo la umbo la dunia ni jambo dogo sana. Kuna mtu humu ameweka mpaka picha aliyopiga yeye mwenyewe akiwa anasafiri kwenda USA.

Mkuu ukibishana na asiyelewa atakuharibia siku kwaani hataelewa au hataki kuelewa, hata hajiulizi maswali rahisi ma mepesi amewezaje kuingia kwenye mtandao huu anaotumia kuuliza maswali, watu kwa maelfu wanaingia kwa wakati mmoja dunia nzima na anapost kitu akitakacho, mbona haulizi inawezekanaje haya kufanyika? hajui hii ni mojawapo ya satelite zilizowekwa na wanadamu angani kuimonitor dunia, kwaani ni wapi katika vitabu vitakatifu iliandikwa kuwa tutaweza kuona tukio lolote live katika uso wa dunia? e.g mahubiri lve, mpira live na nk. mbona hivi hasemi kama ni muujiza?
 
jaman hii Kwan real picha ya ndege au Ni animation Tu ya 3D.... Hii Ni picha ya kuchorwa... Na if u don't knw .. They use science to deceive you... Its all about mind control

little hulk: zoom hiyo image utaona jina la ndege SWISS AIR ni picha ya satelite hapo inavuka bahari ya Atlantic inakaribia kutua Chicago. Mbona hukatai mtandao unaotumia?
 
Last edited by a moderator:
Flat out unbelievable that against irrefutable scientific evidence still some minds believe the world is flat. Horrific and maybe explains the rise of other forms of fundamentalism which are unleashing havoc on planet earth.
 
Wingi au uchache wa wanaopinga au kukubali dhana si hoja.

Tushaona hoja nzuri ikipingwa na wengi mpaka muda wake unapofika inakubaliwa.

Na pia kuna hoja nzuri zinazokubaliwa na wengi na kupingwa na wachache.

Kwangu mimi, kitu muhimu cha kuangalia si wangapi wanapinga au kukubali hoja, bali mantiki ya hoja.

Maana hata watu wa dunia nzima wakisema kwamba jua haliwaki, kama jua linawaka, watu wa dunia nzima kusema kwamba haliwaki hakufanyi jua liwe haliwaki.

Ukitaka uthibitisho wa kweli utashindwa hata kuamka kutoka kitandani asubuhi.

Maana hamna uthibitisho kwamba sakafu itaweza kukuhimili ukiweka mguu chini.

This is why we have frameworks, margins of errors, negligible residual immesuarability, Heisenbergs Uncertainty Principle etc., etc.

Kwa maana hiyo hupaswi kudai uthibitisho wa madai yoyote?

Kama unapaswa kudai uthibitisho,kwanini kwenye hili tunaambiwa tukubali bila uthibitisho?
 
Kwa maana hiyo hupaswi kudai uthibitisho wa madai yoyote?

Kama unapaswa kudai uthibitisho,kwanini kwenye hili tunaambiwa tukubali bila uthibitisho?

Wapi unapata habari ya kutodai uthibitisho kwa madai yoyote?

Kwenye lipi?

Tunaambiwa tukubali bila uthibitisho wapi?

Na nani?
 
Nimemsoma copernicus ... lakin je, umeshajaribu tafiti zingine znazoelezea maisha ya copernicus kufikia kutoa mchoro wake jinsi jua kuwa ndo iko center na dunia inaizunguka jua..?

Habari zake ni nyingi sana, unakusudia nyingine zipi?
 
Wapi unapata habari ya kutodai uthibitisho kwa madai yoyote?
Hapa kwenye hii mada ....
Kwenye lipi?
Hili la dunia kuwa duara na habari nzima ya kulizunguka jua na kujizungusha yenyewe ..
Tunaambiwa tukubali bila uthibitisho wapi?
Hapa kwenye hii thread
Na wewe na wenzako mnaokubali dhana ya dunia kuzunguka na kuwa ni duara!
 
Hapa kwenye hii mada ....

Hili la dunia kuwa duara na habari nzima ya kulizunguka jua na kujizungusha yenyewe ..

Hapa kwenye hii thread

Na wewe na wenzako mnaokubali dhana ya dunia kuzunguka na kuwa ni duara!

Specificity please.

Generality is the disease of the feeble minded
 
mkuu wanasema "if u cant make it, then fake it"..... so no moon landing, all satellite photos are fake, no wow signal, no aliens and UFOs, no other extraterrestrial life..... tusubirie kinachokuja,,, Project blue beam... i think itakufumbua macho ukiifatilia

That's idea of a conspiracy theorist I think ...sio kila kitu is fake,just because Hollywood fakes it. Developed countries are capable of at least shooting a satellite out there, technically capable.
 
Top 10 Ways to Know the Earth is Not Flat

(1) The Moon

Now that humanity knows quite positively that the Moon is not a piece of cheese or a playful god, the phenomena that accompany it (from its monthly cycles to lunar eclipses) are well-explained. It was quite a mystery to the ancient Greeks, though, and in their quest for knowledge, they came up with a few insightful observations that helped humanity figure out the shape of our planet.

Aristotle (who made quite a lot of observations about the spherical nature of the Earth) noticed that during lunar eclipses (when the Earth’s orbit places it directly between the Sun and the Moon, creating a shadow in the process), the shadow on the Moon’s surface is round. This shadow is the Earth’s, and it’s a great clue on the spherical shape of the Earth.

Since the earth is rotating (see the “Foucault Pendulum” experiment for a definite proof, if you are doubtful), the consistent oval-shadow it produces in each and every lunar eclipse proves that the earth is not only round but spherical – absolutely, utterly, beyond a shadow of a doubt not flat.

Refer to the following image from Wikipedia for more details on what happens during a lunar eclipse:


Click for the Original
(2) Ships and the Horizon

If you’ve been next to a port lately, or just strolled down a beach and stared off vacantly into the horizon, you might have, perhaps, noticed a very interesting phenomenon: approaching ships do not just “appear” out of the horizon (like they should have if the world was flat), but rather emerge from beneath the sea.

But – you say – ships do not submerge and rise up again as they approach our view (except in “Pirates of the Caribbean”, but we are hereby assuming that was a fictitious movie). The reason ships appear as if they “emerge from the waves” is because the world is not flat: it’s round.



Imagine an ant walking along the surface of an orange, into your field of view. If you look at the orange “head on”, you will see the ant’s body slowly rising up from the “horizon”, because of the curvature of the Orange. If you would do that experiment with a long road, the effect would have changed: The ant would have slowly ‘materialized’ into view, depending on how sharp your vision is.



(3) Varying Star Constellations

This observation was originally made by Aristotle (384-322 BCE), who declared the Earth was round judging from the

(4) Shadows and Sticks

If you stick a stick in the [sticky] ground, it will produce a shadow. The shadow moves as time passes (which is the principle for ancient Shadow Clocks). If the world had been flat, then two sticks in different locations would produce the same shadow:



But they don’t. This is because the earth is round, and not flat:



Eratosthenes (276-194 BCE) used this principle to calculate the circumference of the Earth quite accurately. To see this demonstrated, refer to my experiment video about Eratosthenes and the circumference of the earth – “The Earth’s curvature is tasty!“.

(5) Seeing Farther from Higher

Standing in a flat plateau, you look ahead of you towards the horizon. You strain your eyes, then take out your favorite binoculars and stare through them, as far as your eyes (with the help of the binocular lenses) can see.

Then, you climb up the closest tree – the higher the better, just be careful not to drop those binoculars and break their lenses. You then look again, strain your eyes, stare through the binoculars out to the horizon.

The higher up you are the farther you will see. Usually, we tend to relate this to Earthly obstacles, like the fact we have houses or other trees obstructing our vision on the ground, and climbing upwards we have a clear view, but that’s not the true reason. Even if you would have a completely clear plateau with no obstacles between you and the horizon, you would see much farther from greater height than you would on the ground.

This phenomena is caused by the curvature of the Earth as well, and would not happen if the Earth was flat:





(6) Ride a Plane

If you’ve ever taken a trip out of the country, specifically long-destination trips, you could notice two interesting facts about planes and the Earth:

Planes can travel in a relatively straight line a very long time and not fall off any edges. They can also, theoretically (and some do, though with stops along the way), circle the earth.
Correction (Courtesy of Klaynos, from scienceforums.net): Apparently, planes can circle the Earth without stopping!
If you look out the window on a trans-Atlantic flight, you can, most of the times, see the curvature of the earth in the horizon. The best view of the curvature used to be on the Concorde, but that plane’s long gone. I can’t wait seeing the pictures from the new plane by “Virgin Galactic” – the horizon should look absolutely curved, as it actually is from a distance.
(A picture of the curved horizon from a Concorde plane can be seen here).

(7) Look at Other Planets

The Earth is different from other planets, that much is true. After all, we have life, and we haven’t found any other planets with life (yet). However, there are certain characteristics all planets have, and it will be quite logical to assume that if all planets behave a certain way, or show certain characteristics – specifically if those planets are in different places or were created under different circumstances – our planet is the same.

In other words: If so many planets that were created in different locations and under different circumstances show the same property, it’s likely that our own planet has the same property as well. All of our observations show planets are spherical (and since we know how they’re created, it’s also obvious why they are taking this shape). Unless we have a very good reason to think otherwise (which we don’t), our planet is very likely the same.

In 1610, Galileo Galilei observed the moons of Jupiter rotating around it (click here to see a beautiful video reconstruction of his observations). He described them as small planets orbiting a larger planet – a description (and observation) that was very difficult for the church to accept as it followed a geocentric model where everything was supposed to revolve around the Earth. This observation also showed that the planets (Jupiter, Neptune, and later Venus was observed too) are all spherical, and all orbit the sun.

A fla
 
Dunia ni round, hilo hata halihitaji ubishi, picha zipo nyingi zinapigwa kila siku kutoka angani.

Kila kitu kilichomo ndani ya atmosphere, binadamu na ndege vyote wakati dunia inazunguka, inazunguka navyo pia kwa hiyo usidhani ndege itaruka afu umbali upungue, ingekua hivo basi hata chini hapa tungekua tukiruka tunatua kwingine.. For as long as kitu kimo ndani ya atmosphere basi dunia inavozunguka na chenyewe kinazunguka vilevile kwa speed ileile...

Afu angalia satellites zilizoko angani, kuna satellite zinaitwa geostationery ambazo zenyewe hua zinaonekana kama zimesimama, zile satellite kwa kua ziko nje kiasi kwamba haziwezi kuzungushwa na dunia, hua zinapewa speed sawa na speed ya dunia, sasa kiukweli ni kama zinaanguka vile sema zinaonekana stationery sababu zinaenda kwa speed sawa na speed ya mzunguko wa dunia..

kama dunia ingekua flat hivi inategemea jua lingeonekana kama linazama kwenda chini?? si lingeonekana linapita tu kutoka kulia kwenda kushoto, sio kuonekana linatoka chini linakuja juu afu linaenda chini tena...

Afu watu NASA mnawaona kama mashetani, wanaofanya kazi pale ni watu ka wewe na mimi, yaweza kua ndugu yako au rafiki, sio watu walioletwa kutoka kuzimu wale kusema wanazuia ndege kupita Antarctica, mbona watu wanaenda kule kila mwaka, we aliyekwambia wanazuia ni akina nani?? hakuna evidence yoyote kule kua dunia haizunguki wala si duara..

Jamani nunueni hata telescope basi za bei nafuu mtumie kuangalia mwezi au sayari nyingine za karibu muone kua ni duara na hivi vitu vipo kweli sio kwamba vinaandikwa tu.. huwezi danganya science ambayo ndo leo hii inakusaidia wewe unatumia jamiiforums
Uduara wa dunia unaopatikana katika picha mbalimbali ndio huo huo watu wanautafutia ushahidi yani kupdove tulichafundishwa na tunachokishuhudia, so ili kuwekana sawa kwa nyie mlioelewa udara wa dunia ni kazi yenu kuweka uthibitisho kamili kisha myajibu kwa hoja na fact na ushahidi yale yaonekyo si ya kweli tk dunia duara na sio kuwaktalia wakijuacho au watakacho kukijua. Haya mi naomba ushahidi wako 5 kuwa dunia ni duara then nikuulize maswali na unjbu kw fact na ushahidi
 
labda tumuongezee tu kuhusu dunia kuzunguka na vitu vyote vilivyomo ndani.
mfano mzur ni pale nzi anapokuwa anafly ndani ya basi lililo kwenye mwendo, kwa idea ya mleta mada ilibidi nzi asiende sawa na basi na hvyo angejigonga kwenye kioo cha nyuma cha basi. but kama tunavyoshuhudiaga ni kuwa nzi nae huenda sawa na basi bila ya kujigonga.
Ulishajiuliza ni kwa nini nzi awe anaenda sambamba na basi linakoenda?...Swali la pili,wewe kwa uelewa wako unafikiri pale nzi hajui kama lile gari lina move so na yeye inamlazimu ku move ili asigonge ukuta wa gari?...
If yes:Kwa mantiki hiyo,kama nzi anaweza kuona au kugundua gari lina move,ni kwa nini sisi tukiwa kwenye ndege inaruka angani sambamba na movement ya dunia tusione kama dunia inazunguka?
 
Ulishajiuliza ni kwa nini nzi awe anaenda sambamba na basi linakoenda?...Swali la pili,wewe kwa uelewa wako unafikiri pale nzi hajui kama lile gari lina move so na yeye inamlazimu ku move ili asigonge ukuta wa gari?...
If yes:Kwa mantiki hiyo,kama nzi anaweza kuona au kugundua gari lina move,ni kwa nini sisi tukiwa kwenye ndege inaruka angani sambamba na movement ya dunia tusione kama dunia inazunguka?
Compare size ya nzi na basi na jicomare size yako na dunia
 
Back
Top Bottom