The Emirate of Dubai siyo nchi na uhusiano wa kimataifa ni jambo la Muungano ila ina uwezo wa kuingia makubaliano ya kimataifa kwa mujibu wa Katiba

Katiba yao ibara ya 116 ikisoma na 120, 123, 124,na 125 wanaruhusa ya kuingia mikataba ya uwekezaji na biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…