The Emperor Jean-Bedel Bokassa

Watu walikua wanaufanya Udikteta kweli kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16].
Nchi inageuzwa mtaji... yani ukipindua ukipata madaraka tu. ushakua Dangote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Na hayo ni kwa uchache tu,utayakuta mengine mazito tu
 
Watoto wake wapo wapi hata kutelekeza mali za babayo. Kwa nini hayo majumba wasiyasimamie
 
alizeekaje ktk umaskin wakati alikuwa tajiri?
 
hahahaha hii ilikuwa noma
cc:niyombare
 
afika kwakweli imelaaniwa
huyu bokasa aliamuru Lori LA jeshi likanyage watoto wa shule waliogoma kutoka darasan kwenda barabaran kumshangaa
Aliwaweka ndani wanafunzi kwa kukataa kununua uniforms zilizoshonwa na mke wake
 
Si ajabu kumkuta peponi, maana njia za Mungu si njia za mwanadamu (Mungu si Athuman). Pengine alitubu kweli na kuiamini injili kabla ya kifo chake
watu wengine wamejipa kazi za Allah
 
Kwa kuongeza
Alikua na kitanda cha dhahabu na almasi tupu no mbao

Lakini alikufa masikini wa kutupwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…