Cicero
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,924
- 3,074
Faida zipo na ni nyingi mnooo nashindwa hata nianze wapi.No need for union. Mimi sioni faida yake kwa sasa. Tusubiri miaka 100 ijayo nchi zijikomboe kwanza ki uchumi. Imagine Kenya wanadaiwa 60% ya GDP na deni ni kubwa 300% ya revenue yao. Je, nani atabeba mzigo huo? Vipi muhusu ukabila wa wakenya. Huoni wanaweza ambukiza EA tukaanza kubaguana? Mimi sitaki hii union. Labda tuungane na Comoros au zambia
Siku zote nasema usichukie kitu ambacho hata bado hakijazaliwa. Hatujui muundo wa serikali shirikishi utakuwaje, mgawanyo wa madaraka baina ya shirikisho na nchi wanachama utakuwaje, nafasi za uongozi zitakuwa ni zipi....e.t.c.
Subiri kwanza rasimu ya katiba iandaliwe tuletewe kuijadili. Naamini wananchi watakuwa na final say through referendum!