The federal Republic of East Africa

The federal Republic of East Africa

But message sent.
To the wrong person, ukishachapa sip ya makali unatulia kwa takriban dakika dakika tano kwanza kabla ya kupost chochote hapa jf. Hukuona hilo kwenye sheria na masharti ya jf? Usiniambie hukuyaona!
 
To the wrong person, ukishachapa sip ya makali unatulia kwa takriban dakika dakika tano kwanza kabla ya kupost chochote hapa jf. Hukuona hilo kwenye sheria na masharti ya jf? Usiniambie hukuyasoma yote kama mimi!
pingli-nywee
JF-Expert Member

Joined: Sep 16, 2015
Jipange kujadili na mimi. Na ninajua kabisa message ilikuwa inakulenga wewe. Nikaweka kistaarabu wewe unaliamsha. Basi twende tuona.
 
Kuna mambo ambayo yalikuwa na faida kwa kipindi kilichopita. Na Nyerere kweli aliyasema hayo na yalikuwa na mwafaka kwa kipindi hicho.
Hapa hatujifungii hapa kila mmoja anakuwa na nchi yake na ustarabu wake. Huu umoja unaoutaka ulishindikana mikononi mwa Nyerere mwenyewe, maana ndani ya huo umoja wengine walikuwa wanafiki na mpaka sasa hivi bado wengine ni wanafiki. Kitu kikubwa ambacho tunaweza kujifunza ni kutokana na CoW, hiyo ndioy case study ya kutuonesha ni namna gani sasa jinsi nchi za EA walivyo wanafiki.

Tukiongelea Political Federation kwamba ni kila kitu. Kweli kwa namna moja ninaweza kusema hivyo. Lakini Political Federation itakuwa na mwelekeo mzuri kama Social Federation imekaa vizuri. Mwalimu Nyerere alifanya vizuri sana kuhakikisha Tanzania (Tanganyika na Zanzibar) tunaishi kwa pamoja bila kubaguana. Kitu kikubwa alicho kifanya ni kuunganisha wananchi wote na kuwa kitu kimoja. Taifa likawa na sauti moja.

Lakini tukiangalia EA Federal Republic, hakuna dalili yoyote inayofanyika kuunganisha hawa watu. Zaidi sana unafiki unafanyika chini chini ili kuvuna mali kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine. Na mwelekeo huo kama nchi yenye rasmali nyiki haitakuwa makini jambo litakalotokea ni kuvuna mali na mwisho wa siku kuuvunja muungana na wachache wameneemeka na mali.

Jambo jingine ambalo tunaweza kusema ni Case study kuhusu huu muungano ni kuhusu Mradi wa bomba la mafuta toka Hoima mpaka Tanga. Hapo ndipo utakapoelewa je, hii federation imekaa vipi. Uhuni mkubwa ulitumika na kutumia ulaghai wa hali ya juu. Sasa kama kweli kuna nia ya dhati ya kuwa na federal nation kwanini kuwe na ugomvi na kununiana kwa mradi huo?

Msimamo wangu ni kwamba kwa sasa tubaki katika ujarani mwema na wale wanaoona kwamba wanaweza kuungana waungane wao. Siyo kulazimisha tuwepo wote kwa pamoja wakati socially tunatofautiana sana.

Halafu je, Ideology ya hii federal republic itakuwa socialism au Capitalism? Lazima tuelewe na kwanini tuwe katika mfumo ule? Je, kenya ipo tayari kuuacha mfumo ilionao wa kwamba msingi wa maendeleo kuwa ni mtaji(Capitalism) na kwenda kwenye mfumo wa msingi wa maendeleo kuwa ni watu(Socialism).

Hapa si jambo dogo tumeenda mbali mno. Katika muungano tutasababisha civil conflicts ambazo haina haja ya kuwepo.
Kwa mfano mdogo tu kule Loliondo conflicts kila wakati na sababu ni kwamba wahamiaji kutoka kenya kuja kuvamia protected areas na kuharibu vyanzo vya mali asili.

Mwisho naweza kusema kwamba kwa sasa tuendelee kuwa na ujirani mwema tu.
Nimekuelewa sana mkuu. Concerns zako ni VERY valid na zinahitaji kuwa addressed.
Nachoweza kukuambia pia ni kwamba, FEDERATION hakumaanishi nchi kuwa moja. Na ndio maana linaundwa Shirikisho (Federal) na sio Unitary Govt.
The beauty of a Federation ni kwamba kila nchi inabaki na mipaka yake na sheria zake na watu wake na cultures zake. Lakini kunakuwa na BAADHI ya mambo ambayo tunashirikiana. Tunakuwa na sauti moja. Kwa mfano ulinzi na usalama, mambo ya nje na biashara ya kimataifa (international trade).
Tatizo lingine nililoliona kwetu ni kwamba watu hawafahamu how a Federal system of govt works. Haimaanishi kufuta mipaka na kuwa na nchi moja.
Nikupe tu mifano:
1. Nigeria ni nchi moja ila ina majimbo. Kwa katiba yao mtu aliyezaliwa kwenye jimbo A hawezi kuajiriwa na serikali ya jimbo B, hawezi kuvote pia au kustand for election. Yet hilo ni taifa moja. The image they give the world is of a united nigeria....lakini kwa ndani majimbo ya Nigeria yamebaki kuwa distinct.
2. The UK is one country. Lakini.....kuna devolved governments. Kuna sehemu inaitwa Isle of Man. Huko, any WORKING UK citizen is welcome lakini ukistaafu unatakiwa kurudi jimbo ulilotokea. They do not give pensions to non - residents. Same here. A ugandan can work here lakini akistaafu anarudi kwao. Just some of the things we could borrow.
3. Tanzania is one country. Lakini foreigners wanaoingia ZNZ wanakuwa subjected to a whole different set of checks at the point of entry. (Tanzania or any member state within the Federation can still control foreigners entering/leaving its territory)
4. Kanada. Kuna majimbo yanayozungumza French as official language mengine English. Yet still Canada ni nchi moja. (To address issue ya lugha. Though ni muhimu, sio lazima kuwa na lugha moja throughout. Just one official language is enough). Kingine about Kanada ni justice system yao. Kila jimbo lina mahakama zake chini ya Jaji Mkuu wake. System yao ya federal courts ni ndogo mno na inashughulikia masuala ya muungano tu. This means that in terms of the Justice system, majimbo yamebaki distinct.

Na kadhalika.

IN GENERAL, my point ni kwamba Federation maana yake sio kuunganisha totally. Think of it as us having a federal government taking care of the 'high politics' (defence and security, foreign affairs, international trade, single currency e.t.c.) alafu kila nchi inabaki kushughulikia its 'low politics' (state administration, land, natural resources, health, education, justice system e.t.c.)
 
ni sawa na kusema israel na palestine kuungana na kuwa nchi moja
 
Nimeelewa unachoongelea.
Mambo ambayo yanatakiwa kuangaliwa ni kama yafuatavyo:-
1. Sovereignty of a Nation
2. Currency of a Nation
3. International relation of a Nation
4. Security of a Nation (Air, Marine and Land)
5. Social Interaction within federation
6. Natural resource sharing within federation
7. Mahakama ya maamuzi kuhusu federation
8. Process za kupata katiba ya federation
9. Vyama vya siasa

Kwa kuongea hayo machache naweza kwenda mbele sasa kuanza kuelezea issue jinsi zilivyo katika baadhi ya nchi ulizozitaja.

Kwa maelezo yako kuhusu Nigeria kuwa na serikali kwenye majimbo haimanishi kwamba hakuna cetral government ambayo inatunga na kusimamia sera. Hayo majimbo na vitu vingine vitabaki kwenye local government ambayo inasimamiwa na Central Goverment. Kwa hiyo Local Government yenyewe ni kutekeleza sera zilizotungwa na zinazosimamiwa na central government. Kwa maana hiyo serikali za majimbo zinakuwa na minimal authority na zinachungwa kwa karibu na central government. So uhuru wa state unakuwa haupo.

Katika mambo tisa niliyoyataja swala la kuhusu Sovereignty of a Nation litauwa limekaa vipi? Je, nchi zilizoungana kwenye federal Republic zinakosa Sovereignty yake? Kwamba kunakuwa na nchi moja na hiyo nchi inawakilishwa na kiti kimoja kwenye UN. Kama kura 5 zilikuwa zinatakiwa kupigwa basi inapigwa kura moja. What is the motive behind ya kuua Sovereignty ya nchi ambazo zilipigana na kupata uhuru zenyewe?

Tunakuja kwenye suala la Currency; Je, tunakuwa na sarafu moja? na sarafu za kila nchi zinakufa? au inakuwepo sarafu moja lakini sarafu za kila nchi zinabaki? Vipi kuhusu Central Bank. Tunakuwa na Cetral bank moja? Yaani hiyo ndiyo inakuwa ina-regulate uchumi wa federation kwa pamoja?

Hayo kwanza machache ili tuweze kwendelea na mjadala.
 
pingli-nywee
JF-Expert Member

Joined: Sep 16, 2015
Jipange kujadili na mimi. Na ninajua kabisa message ilikuwa inakulenga wewe. Nikaweka kistaarabu wewe unaliamsha. Basi twende tuona.
Sasa username yangu kuitafuta ukaipata ndo unajiona C.I.A? Twende wapi? Shika jembe kaliamshe shambani. Hiyo time ya kujibizana pumba mitandaoni nani anayo bana.
 
Nimeelewa unachoongelea.
Mambo ambayo yanatakiwa kuangaliwa ni kama yafuatavyo:-
1. Sovereignty of a Nation
2. Currency of a Nation
3. International relation of a Nation
4. Security of a Nation (Air, Marine and Land)
5. Social Interaction within federation
6. Natural resource sharing within federation
7. Mahakama ya maamuzi kuhusu federation
8. Process za kupata katiba ya federation
9. Vyama vya siasa

Kwa kuongea hayo machache naweza kwenda mbele sasa kuanza kuelezea issue jinsi zilivyo katika baadhi ya nchi ulizozitaja.

Kwa maelezo yako kuhusu Nigeria kuwa na serikali kwenye majimbo haimanishi kwamba hakuna cetral government ambayo inatunga na kusimamia sera. Hayo majimbo na vitu vingine vitabaki kwenye local government ambayo inasimamiwa na Central Goverment. Kwa hiyo Local Government yenyewe ni kutekeleza sera zilizotungwa na zinazosimamiwa na central government. Kwa maana hiyo serikali za majimbo zinakuwa na minimal authority na zinachungwa kwa karibu na central government. So uhuru wa state unakuwa haupo.

Katika mambo tisa niliyoyataja swala la kuhusu Sovereignty of a Nation litauwa limekaa vipi? Je, nchi zilizoungana kwenye federal Republic zinakosa Sovereignty yake? Kwamba kunakuwa na nchi moja na hiyo nchi inawakilishwa na kiti kimoja kwenye UN. Kama kura 5 zilikuwa zinatakiwa kupigwa basi inapigwa kura moja. What is the motive behind ya kuua Sovereignty ya nchi ambazo zilipigana na kupata uhuru zenyewe?

Tunakuja kwenye suala la Currency; Je, tunakuwa na sarafu moja? na sarafu za kila nchi zinakufa? au inakuwepo sarafu moja lakini sarafu za kila nchi zinabaki? Vipi kuhusu Central Bank. Tunakuwa na Cetral bank moja? Yaani hiyo ndiyo inakuwa ina-regulate uchumi wa federation kwa pamoja?

Hayo kwanza machache ili tuweze kwendelea na mjadala.

1. Kunakuwa na shared sovereignty. Every power ambayo katiba ya shirikisho haijaipa serikali ya shirikisho inabaki kuwa power ya nchi mwanachama. Kutakuwa na list ya federal powers (competencies), shared competencies na state competencies. Kawaida duniani kote kuna mambo ambayo lazima inapewa serikali ya shirikisho, na nilikutajia baadhi tu. Foreign affairs (ndio tutakuwa na kiti kimoja UN. Pia, hakuna nchi itakayoruhusiwa kuingia mkataba wowote ule na any foreign govt/ngo bila ruhusa ya federal govt). Defence and security (one defence and security policy. An attack on one is an attack on all. Jeshi ni moja tu na chini ya amri jeshi mkuu mmoja tu. No member state will have authority to raise an armed force). Immigration (passport ni moja tu na ni ya East Africa not individual country passports. masuala yote ya uraia). Currency (BTW bila hata kuwa na shirikisho inawezekana kuwa na single currency. Refer to the Euro na the CFA franc ya west africa. Afrika Mashariki pia tuko mbioni kuanzisha sarafu yetu ya pamoja. Tutakuwa na benki kuu ya afrika mashariki ambayo itakuwa inaregulate monetary policy ya nchi wanachama through benki kuu za member states. Hazitafutwa zitaendelea kuwepo ila zitaoperate kama branches za Benki Kuu ya Afrika Mashariki)

2. Navojua kuhusu natural resources kuna mawili. Ownership na regulation. Nchi zingine unakuta regulator ni federal govt lakini ownership ni member state. Others unakuta federal govt is both owner and regulator and others member states zenyewe. Hili its just a matter of kuelewana. We sit and talk.

3. Justice system inakuwa as established by the federal constitution. Of course kutakuwa na federal courts na state courts. Federal courts zinasimamia all disputes arising from federal laws. Huko Marekani kwa mfano unakuta kama kitu sio federal affair basi all federal courts zinakuwa subordinate to state courts; decisions of state courts ndo zinakuwa na uzito and vice versa. Kila state ina Chief Justice wake, legal system yake, law enforcement officers wake (police) e.t.c.

4. Kuhusu katiba yenyewe sasa. How do we write it? Hilo litaamuliwa na viongozi. Wataalam wataandaa rasimu (i believe hii process ishaanza) then kila nchi itapelekewa rasimu, to discuss and propose amendments then kunakuwa na kura ya maoni. Maybe shirikisho litaanzishwa between any 3 member states that pass the constitution wengine watajiunga baadae with time.
Probably katiba ya shirikisho itakuwa very brief and short kwa sababu 'masuala ya muungano' yatakuwa ni machache mno. Mambo mengi yatabaki kwa nchi wanachama.
 
Hapo umeeleza vizuri sana kwa uoande wako.
Kwa sababu hapa tunajadiliana ngoja tuendelea kama ifuatavyo.
Kuhusu point yako hiyo ya mwanzo
Ambayo imejumuisha mambo ambayo ndiyo ya msingi kabisa.
Sasa tunaanza kwenye National Identity (Sovereignty)
1. National flag
2. National Ideology
3. National internal affairs
Kwa haya machache ambayo mwisho wa siku ndio yanamgusa raia moja kwa moja. Na lengo la kuungana ni kuwa na sauti moja. Lakini sasa hapo unakuta kuna tatizo linajitokeza kwamba. Tayari mnakuwa ni taifa moja linalokuwa na mwakilishi mmoja kwenye UN. Na huko huwa kura zinapigwa hapo mnakuwa na kura moja tu. Sasa hapo tayari mnakosa kuwa na sauti. Kwa sababu sauti inakuwa ni moja na linakuwa taifa kubwa lenye eneo kubwa kama congo lakini sauti yake ni ndogo.

Vilevile tukija kwenye suala la national Ideology tayari kunakuwa na internal conflict, jambo hilo linaweza kusababisha bing nation but weak kutokana na kutofautiana ki itikadi ndani ya nchi. Ikumbukwe Nchi ya kenya na Tanzania ndio mahasimu wa muda mrefu katika ukanda huu wa Africa mashariki., ndio hao hao wanaotofautiana kwa kiasi kikubwa ki itikadi. Je, Taifa litakuwa katika direction ipi? Sera ya taifa itakuwa katika mlengo upi. Hatuwezi kuungana tu eti kwa sababu sisi ni majirani wakati tunatofautiana mambo mengi.

Lazima tuorodheshe sababu kwanini tunataka kuwa taifa moja? Je, ni issue za siasa, kibiashara na kwanini? Yapo mataifa yenye eneo dogo lakini yamepiga hatua kubwa sana kiuchumi. Tatizo letu siyo kuungana tatizo la nchi za africa ni ubinafsi na uchu wa madaraka. Wachache na familia zao wanataka kuendelea kuwepo kwenye utawala. Angalia Kenya maeneo yoye mazuri yameshikiliwa na familia zile zile. Kwa hiyo hata tukiwepo na Federation Elite groups zitapata access ya maeneo mengine mapya.

For now naona tukae hivi tu mpaka mambo yatakapokaa sawa kwenye baadhi ya nchi. Na hakuna umuhimu wowote wa federation. Tuwe tu na umoja kama ule wa AU na kila mmoja abaki na nchi yake.
 
Bendera hazifutwi. Zinakuwa mbili. Ya EA na ya TZ. In all Federal states ndivyo ilivyo. Hata wimbo wa taifa kunakuwa na wa EA na wa TZ.
Internal affairs zinabaki under control of TZ. Jeshi la polisi ni la TZ, sheria zinazomgusa mwananchi mmoja mmoja zitabaki kuwa za TZ na wala sio za shirikisho. Ukiangalia vizuri mambo mengi ya muungano yatazigusa serikali za nchi wanachama (to a large extent) na wala sio raia mmoja mmoja.
Sijui kwa nini tunakuwa waoga wakati sisi ndo tuna nafasi nzuri ya kushika usukani!
 
Bado hujaeleza sababu zipi zinatufanya tuungane.
 
Sababu zipo nyingi soma "regional integration policy" document ya Tanzania, Kenya, Uganda na Rwanda. Kila nchi ina yake. Tembelea website ya wizara ya mambo ya nje.
 
sidhani kama kunasababu za maana.
 
Back
Top Bottom