The federal Republic of East Africa

Faida zipo na ni nyingi mnooo nashindwa hata nianze wapi.
Siku zote nasema usichukie kitu ambacho hata bado hakijazaliwa. Hatujui muundo wa serikali shirikishi utakuwaje, mgawanyo wa madaraka baina ya shirikisho na nchi wanachama utakuwaje, nafasi za uongozi zitakuwa ni zipi....e.t.c.
Subiri kwanza rasimu ya katiba iandaliwe tuletewe kuijadili. Naamini wananchi watakuwa na final say through referendum!
 
LangatKipro A rotational presidency would be BAD. VERY BAD.
We should have a popularly elected president. Political parties will be forced to form East African coalitions. Like the then TANU of Tanganyika and ASP of Zanzibar which united to form CCM when the two sovereign states united.
Each East African party/coalition will then rally behind single candidates for the presidency.
 
Mbona rasimu ya katiba ilishaandaliwa kipindi cha CoW, Tanzania ilisema haipo Tayari, ila nchi zingine tatu yaani Kenya, Uganda na Rwanda zilikuwa tayari, kama ilivyokuwa kwenye single tourists visa, kwanini hizi nchi tatu zisiendelee na political federation ili Tanzania ijifunze ikiona inafaa itajiunga, kwenye single visa Tanzania iliona haina faida.
 
Tuchague na tukubali lugha moja ya kufundishia, tutengeneze mtaala mmoja kwa shule zote za Afrika mashariki, baada ya hapo tunaweka utaratibu wa kuwalazimisha watoto wanaojiunga elimu ya sekondari kuchanganywa na watoto wa sehemu nyingine, mfano mtoto wa Tz anaenda form 1 rwanda, wa Kenya anaenda burundi nk, hii itachanganya tamaduni,

Hiko kizazi tutakachotengeneza hapo ndicho kitaweza kuunganisha hizi nchi na kuwa nchi moja...maana wataoana na kufanya biashara bila mipaka.
 
Iliandaliwa na ilikuwa ikabidhiwe rasmi kwa marais lakini wakaikataa na kubadili kwamba badala ya kuunda FEDERATION tuanze kwanza na CONFEDERATION.
Ikabidi wataalam waanze upya kazi ya kuandaa katiba ya confederation.
 
Unaposema faida Ni nyingi mno bila hata ya kutaja moja wapo ninakuwa sikuelewi. Nimekupatia baadhi ya hasara. Moja ya hasara ni kwamba ardhi yote ya kenya ipo chini ya wazungu na wanasiasa na ardhi ndio moyo wa nchi. Sasa huoni federation itafaidia wengine na wengine kuwatia hasara?
 
Iliandaliwa na ilikuwa ikabidhiwe rasmi kwa marais lakini wakaikataa na kubadili kwamba badala ya kuunda FEDERATION tuanze kwanza na CONFEDERATION.
Ikabidi wataalam waanze upya kazi ya kuandaa katiba ya confederation.
Mambo kama hayo ndiyo yanayoifanya Tanzania isijishughulishe sana na mambo ya EAC, inawezekanaje watu wenye akili timamu wakae na kuamua kutengeneza katiba, watumie pesa nyingi na muda mwingi kuitengeneza, ghafla wabadilike waseme haina umuhimu kwa muda huu kwa hiyo tuanze na confederation, maana yake hakuna uhakika na yale yanayofanyika, na hiyo ndiyo tofauti kubwa ilipo kati ya Tanzania na nchi zingine za EA, Tanzania inapenda sana kujipa muda mrefu wa kupanga mambo kabla ya kuyatekeleza, ili kuepuka makosa kama hayo.
 
True, Kenyans are obsessed with kissing white men asses. Hopeless nation better unite with others
 
Kweli kabisa muungano wa nini na kwa manufaa ya nani,bado sana na kila mtu aubebe mzigo wake mwenyewe hadi hapo tutakapojaliwa kufanana tabia
 
Wewe binafsi unsmiliki ardhi kiasi gani huko Danganyika?
Mimi sio mtu wa Danganyika. Naona povu tu linakutoka hapa.
Moja kuna ardhi ipo toka kwa wazazi wangu. Ni zaidi ya ekari 50.
Mimi mwenyewe nipo na ya kwangu kwa ajili ya wanangu. Ekari 20. Sasa wewe huko kwenu ubamilki nini?
 
Unite ni kitu kizuri mno mno hili lilipaswa kufanywa miaka 1960s wakati nchi nyingi za EAC zilipatia uhuru apa kwa sasa kuna Ma gap maeneo mengi ambayo naona hii unite itakuja mlalie mmoja upande, Nashaka pia Tribalism iliyopo Kenya na kwa Ndugu zangu wengine wanyarwnda ,ila Pia tunaweza ku unite kwa Kutegemea matunda ya Vizazi vijavyo.
 
Mimi sio mtu wa Danganyika. Naona povu tu linakutoka hapa.
Moja kuna ardhi ipo toka kwa wazazi wangu. Ni zaidi ya ekari 50.
Mimi mwenyewe nipo na ya kwangu kwa ajili ya wanangu. Ekari 20. Sasa wewe huko kwenu ubamilki nini?
You have a short memory.
 
Currently, it is a future impossible tense..cause of greedy
 
Bigger land...more people....more labor.....larger market.....free capital....more investment.....more international clout.....it is proven pia kwamba federation leads to faster devpt. Look at all the most developed countries in the world. 90% ni federated states.
 
Definition ya development kwako ni nini?
 
mkuu hivi unafahamu faida za economic intergration?
munakua na negotiation power, munakua na influence. mukiongea kitu everybody listens.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…