The Finest, Afrodenzi, Asprin, AshaDii, Mbu, MwanajamiiOne, Lizzy, Teamo

Huwa hata mimi wananikosha kwa mada zao especially The Finest na Mbu huwa ninahisi labda this guys watakuwa wameoa
Hahaha!!! Imenibidi nicheke kwanini umesema hivyo Jux??
 
Tupo katika mchakato wa kuwasiliana na Vodacom ili waliotajwa waweze kupatiwa awards zao halaka iwezekanavyo.
Big up waheshimiwa!

Dah! halaf the finest pia katajwa? ama kweli Mungu hamtupi mja wake. Khaaa!
 
Shemeji unajua umenizoesha vibaya...................kuanza kusoma mstari wako wa mwisho wa kila post uitumayo kabla ya kuangalia ulivhovhangia hasa?!

Ng'ombe wa Mahari, weshashiba malisho??
 
Mwalimu wangu wa kiswahili Insha alikuwa mzuri kweli kwenye conclusion shemeji ndo maana.

Ng'ombe wa mahari wamerudi tayari, nasubiria wazaliane watimie tu nikamalizane na Lizzy.
 
Naona tayari ushindi unao maana Lizzy naona ashaanza kutawa......Mwali akijiandaa kumpokea mume. Hongera shemeji yangu am happy kwa kuwa nawe uko happy.
 
Wee acha tu shem! yaani soulmate Lizzy amekubali kutunga kitabu cha zawadi ili mauzo yake yanisaidie kupata hela ya mtaji! huu ndo mfano wa true love, Tumekubaliana tufunge ndoa tarehe ambayo meli ya titanic ilizama.
 
Uncle bana naona posho za Igunga zinafanya kazi kweli
Chama kimeishiwa na hela ya kampeni tumejitoa bana! niliwaona wanawake watatu wa JF (majina tunayo) wameshika bango limeandikwa "Vidonge vya uzazi vipunguzwe bei au tutagoma kuolewa" khaaa! nilishangaa halaf nikajiondokea zangu.

Ni memba wa hapa hapa mmu
 
Back
Top Bottom