- Thread starter
- #161
Hahaha!!! Imenibidi nicheke kwanini umesema hivyo Jux??Huwa hata mimi wananikosha kwa mada zao especially The Finest na Mbu huwa ninahisi labda this guys watakuwa wameoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha!!! Imenibidi nicheke kwanini umesema hivyo Jux??Huwa hata mimi wananikosha kwa mada zao especially The Finest na Mbu huwa ninahisi labda this guys watakuwa wameoa
Mkuu kweli naweza kusema na mimi nimeliona hiloMada zao zinakubalika sana,mara nyingi zinagusia masuala ya kijamii ambayo kwa njia moja au nyengine zinatugusa sote. Ninawapa hongera!
Shemeji unajua umenizoesha vibaya...................kuanza kusoma mstari wako wa mwisho wa kila post uitumayo kabla ya kuangalia ulivhovhangia hasa?!Tupo katika mchakato wa kuwasiliana na Vodacom ili waliotajwa waweze kupatiwa awards zao halaka iwezekanavyo.
Big up waheshimiwa!
Dah! halaf the finest pia katajwa? ama kweli Mungu hamtupi mja wake. Khaaa!
Shemeji unajua umenizoesha vibaya...................kuanza kusoma mstari wako wa mwisho wa kila post uitumayo kabla ya kuangalia ulivhovhangia hasa?!
Ng'ombe wa Mahari, weshashiba malisho??
Naona tayari ushindi unao maana Lizzy naona ashaanza kutawa......Mwali akijiandaa kumpokea mume. Hongera shemeji yangu am happy kwa kuwa nawe uko happy.Mwalimu wangu wa kiswahili Insha alikuwa mzuri kweli kwenye conclusion shemeji ndo maana.
Ng'ombe wa mahari wamerudi tayari, nasubiria wazaliane watimie tu nikamalizane na Lizzy.
Wee acha tu shem! yaani soulmate Lizzy amekubali kutunga kitabu cha zawadi ili mauzo yake yanisaidie kupata hela ya mtaji! huu ndo mfano wa true love, Tumekubaliana tufunge ndoa tarehe ambayo meli ya titanic ilizama.Naona tayari ushindi unao maana Lizzy naona ashaanza kutawa......Mwali akijiandaa kumpokea mume. Hongera shemeji yangu am happy kwa kuwa nawe uko happy.
Chama kimeishiwa na hela ya kampeni tumejitoa bana! niliwaona wanawake watatu wa JF (majina tunayo) wameshika bango limeandikwa "Vidonge vya uzazi vipunguzwe bei au tutagoma kuolewa" khaaa! nilishangaa halaf nikajiondokea zangu.Uncle bana naona posho za Igunga zinafanya kazi kweli