The full list of winners of African Leadership Magazine (ALM) Persons of the Year 2020. Hongera sana Rais Dkt. John Magufuli

Mimi nilifikiri chadema wana wingi kiasi kwamba wangesababisha Jpm awe wa mwisho tena kwa kupata 0%

Kumbe pamoja na kuhamasishana kote bado kawa wapili tena kwa mpishano wa 10%?

Bavicha mmekwama wapi?
😁😁😁😁,JPM alikuwa anaongoza mbali!Ila link ilipoletwa tu JF basi wabongo wakapindua meza!!!!
Watz sio watu wazuri aisee!
 
Runner up anapewa sifa na pongezi kama winner
Wewe mleta uzi unajielewa kweli?
 
Uzuri Magufuli hakushinda. Hakukuwa na NEC na Kaijage huko.
 
Ila si umewaona winners
Screenshot_20210115_232020.jpg
 
For what? Amepata tuzo gani?
Amekua namba2 kwenye mpambano ambao waumini wa upinzani waliamua kuwapigia marais wa nchi nyingine. Pamoja na nchi nyingine kuwa na raia wengi zaidizaidi na yeye kuwa namba2 ni ushindi mkubwa kwetu

Hongera tena kwa rais John Pombe Magufuli

Rais namba1 mzalendo Africa na duniani💣💥🙏
 
Leo nimeamini mashabiki wa ccm ni mataahira. Mnampongeza mtu ambaye hajashinda? Mods naomba nyuzi zote za haya mataahira muwe mnazifyekelea mbali maana ni kichefuchefu tu.
Ni mshindi,wa hiyo nafasi ya pili,kwasababu nayo ilikuwa inagombaniwa.
 
Leo nimeamini mashabiki wa ccm ni mataahira. Mnampongeza mtu ambaye hajashinda? Mods naomba nyuzi zote za haya mataahira muwe mnazifyekelea mbali maana ni kichefuchefu tu.
Mkuu hawa wanalamba viatu wasiposifia mkono hauendi kinywani.
 
Leo nimeamini mashabiki wa ccm ni mataahira. Mnampongeza mtu ambaye hajashinda? Mods naomba nyuzi zote za haya mataahira muwe mnazifyekelea mbali maana ni kichefuchefu tu.
Mods wa hapa jf sijui wana nini kuna id yangu wameipiga ban karibu wiki inaisha kosa ni kuwaita chadema genge la wahuni lakini mtu kama wewe utaachwa utambe tu
 
Amekua namba2 kwenye mpambano ambao waumini wa upinzani waliamua kuwapigia marais wa nchi nyingine. Pamoja na nchi nyingine kuwa na raia wengi zaidizaidi na yeye kuwa namba2 ni ushindi mkubwa kwetu

Hongera tena kwa rais John Pombe Magufuli

Rais namba1 mzalendo Africa na duniani💣💥🙏
Huu ni uzwazwa, toto lako linakuwa la mwisho kwenye mtihani, unashangilia, eti kisa ..... Eti
 
Back
Top Bottom