Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Ya CCM au ya NEC?Chadema wali hack website
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya CCM au ya NEC?Chadema wali hack website
😁😁😁😁,JPM alikuwa anaongoza mbali!Ila link ilipoletwa tu JF basi wabongo wakapindua meza!!!!Mimi nilifikiri chadema wana wingi kiasi kwamba wangesababisha Jpm awe wa mwisho tena kwa kupata 0%
Kumbe pamoja na kuhamasishana kote bado kawa wapili tena kwa mpishano wa 10%?
Bavicha mmekwama wapi?
Ila si umewaona winnersUzuri Magufuli hakushinda. Hakukuwa na NEC na Kaijage huko.
He is not a winnerIla si umewaona winners
View attachment 1678430
Hilo swali kawaulize U. K sio mimi, kawaulize walioandika,He is not a winner
Go and ask U.K why do they include two leaders in each part.He is not a winner
Amekua namba2 kwenye mpambano ambao waumini wa upinzani waliamua kuwapigia marais wa nchi nyingine. Pamoja na nchi nyingine kuwa na raia wengi zaidizaidi na yeye kuwa namba2 ni ushindi mkubwa kwetuFor what? Amepata tuzo gani?
Ni mshindi,wa hiyo nafasi ya pili,kwasababu nayo ilikuwa inagombaniwa.Leo nimeamini mashabiki wa ccm ni mataahira. Mnampongeza mtu ambaye hajashinda? Mods naomba nyuzi zote za haya mataahira muwe mnazifyekelea mbali maana ni kichefuchefu tu.
TanzaniaOne kivipi madam?Wewe ulikuaga TanzaniaOne?
Duu kumbe Simba Ssc nao washindi Mapinduzi cup!!!!Ni mshindi,wa hiyo nafasi ya pili,kwasababu nayo ilikuwa inagombaniwa.
Wanaoteseka ni chadema😂😂CHADERMAAAAAAAAA MATUMBO JOTO,
Mkuu hawa wanalamba viatu wasiposifia mkono hauendi kinywani.Leo nimeamini mashabiki wa ccm ni mataahira. Mnampongeza mtu ambaye hajashinda? Mods naomba nyuzi zote za haya mataahira muwe mnazifyekelea mbali maana ni kichefuchefu tu.
Mods wa hapa jf sijui wana nini kuna id yangu wameipiga ban karibu wiki inaisha kosa ni kuwaita chadema genge la wahuni lakini mtu kama wewe utaachwa utambe tuLeo nimeamini mashabiki wa ccm ni mataahira. Mnampongeza mtu ambaye hajashinda? Mods naomba nyuzi zote za haya mataahira muwe mnazifyekelea mbali maana ni kichefuchefu tu.
Huu ni uzwazwa, toto lako linakuwa la mwisho kwenye mtihani, unashangilia, eti kisa ..... EtiAmekua namba2 kwenye mpambano ambao waumini wa upinzani waliamua kuwapigia marais wa nchi nyingine. Pamoja na nchi nyingine kuwa na raia wengi zaidizaidi na yeye kuwa namba2 ni ushindi mkubwa kwetu
Hongera tena kwa rais John Pombe Magufuli
Rais namba1 mzalendo Africa na duniani💣💥🙏