kwani wewe ndo badae ukaitwa thom heagen?hapa ni baada ya sony kuonyesha pupa ya kuongea wakati ile family nyimngine ilipokuja kujifanya wanataka muafaka baina ya families .
my best movies of all time!
nimeangalia zote zaidi ya mara 8. Kuna another quality ya the godfather trilogy, camera angles na setting ni noma sana mpaka sound track.
MICHAEL ALIMUUA KAKA YAKE YUPI?
my best movies of all time!
nimeangalia zote zaidi ya mara 8. Kuna another quality ya the godfather trilogy, camera angles na setting ni noma sana mpaka sound track.
michael alimuua kaka yake yup?
achana kabisa na mario puzo. Sasa kuna kitu chake kingine kinaitwa the sicilian ni balaa
hakunaga tena
my best movies of all time!
nimeangalia zote zaidi ya mara 8. Kuna another quality ya the godfather trilogy, camera angles na setting ni noma sana mpaka sound track.
michael alimuua kaka yake yup?
Unamkumbuka 1st born wa don corleone, jina limentoka alikua hafai kwa lolote, akapelekwa kusimamia casino las vegas akachemsha halafu akajiweka upande wa Mo Green ambae michael alitaka kuchukua hotel zake.
Michael alimwambia kaka ake .... u r my brother but never ever take sides against the family.
Mshkaji hakuskia aka betray la familia tena, basi kuna scene 1 jamaa kachukua kaboti kwenda kuvua samaki na mtoto wa michael, hukohuko akapigwa risasi!
Unakumbuka?
but don alikua na huruma sana. Alimsaidia mother mmoja ambaye alifukuzwa na landlord.
my best movies of all time!
nimeangalia zote zaidi ya mara 8. Kuna another quality ya the godfather trilogy, camera angles na setting ni noma sana mpaka sound track.
MICHAEL ALIMUUA KAKA YAKE YUPI?
nadhani anamaanisha yule aliyeuwawa kwa risasi akiwa ktk mtumbwi!
Huruma na responsibility!
Ila scene ingine nzito ni Michael alivokua kwenye ubatizaji wa mtoto wa kaka ake halafu kaamuru
na akamuua mume wa dada yake! yani yupo kanisani na kule nje watu wanakula shaba!
Nasubiri mwanangu atimize miaka 8 tu nikae ni angalie nae polepole in sha Allah.
Bonge la fundisho