Nyamgluu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2006
- 3,160
- 1,726
my best movies of all time!
nimeangalia zote zaidi ya mara 8. Kuna another quality ya the godfather trilogy, camera angles na setting ni noma sana mpaka sound track.
Naipenda pia kwasababu ni fundisho la kuthamini familia kuliko kitu chochote.
Mnakumbuka dhambi ya michael kummua kaka ake ilivomla mpaka mwisho wake!