The Godfather ya Mario Puzo

The Godfather ya Mario Puzo

my best movies of all time!
nimeangalia zote zaidi ya mara 8. Kuna another quality ya the godfather trilogy, camera angles na setting ni noma sana mpaka sound track.
Naipenda pia kwasababu ni fundisho la kuthamini familia kuliko kitu chochote.
Mnakumbuka dhambi ya michael kummua kaka ake ilivomla mpaka mwisho wake!
 
Kama mambo ya serikali yangekuwa yanajadiliwa kifamilia kusingetokea vita vya dunia_don corleone himself.
 
my best movies of all time!
nimeangalia zote zaidi ya mara 8. Kuna another quality ya the godfather trilogy, camera angles na setting ni noma sana mpaka sound track.

MICHAEL ALIMUUA KAKA YAKE YUPI?
 
my best movies of all time!
nimeangalia zote zaidi ya mara 8. Kuna another quality ya the godfather trilogy, camera angles na setting ni noma sana mpaka sound track.

michael alimuua kaka yake yup?
 
my best movies of all time!
nimeangalia zote zaidi ya mara 8. Kuna another quality ya the godfather trilogy, camera angles na setting ni noma sana mpaka sound track.

michael alimuua kaka yake yup?

Unamkumbuka 1st born wa don corleone, jina limentoka alikua hafai kwa lolote, akapelekwa kusimamia casino las vegas akachemsha halafu akajiweka upande wa Mo Green ambae michael alitaka kuchukua hotel zake.
Michael alimwambia kaka ake .... u r my brother but never ever take sides against the family.
Mshkaji hakuskia aka betray la familia tena, basi kuna scene 1 jamaa kachukua kaboti kwenda kuvua samaki na mtoto wa michael, hukohuko akapigwa risasi!
Unakumbuka?
 
but don alikua na huruma sana. Alimsaidia mother mmoja ambaye alifukuzwa na landlord.

Huruma na responsibility!
Ila scene ingine nzito ni Michael alivokua kwenye ubatizaji wa mtoto wa kaka ake halafu kaamuru all bosses wa 5 families wawe executed!
Yani it was proper infusion ya the holy and unholy and it gets u thinki.
 
Nasubiri mwanangu atimize miaka 8 tu nikae ni angalie nae polepole in sha Allah.
Bonge la fundisho kuhusu famili bondship!
 
Huruma na responsibility!
Ila scene ingine nzito ni Michael alivokua kwenye ubatizaji wa mtoto wa kaka ake halafu kaamuru
na akamuua mume wa dada yake! yani yupo kanisani na kule nje watu wanakula shaba!
 
"... a Lawyer with his briefcase can steal more than a hundred men with guns..."

"... everybody has a price..."

Nimezisoma nyingi, sikumbuki kama hizo quotes niliziona kwenye The Godfather!

Katika Novel zangu nilizonazo, Novel zinazoongoza kwa kuchakaa kutokana na kuzisoma mara nyingi ni The Godfather, Bourne Identity na The Firm. Acha kabisa!

Wakuu mnakumbuka Santino (Sonny) alivyomsukumia "nyama" Lucy kwenye Harusi ya Dada yake Santino?
 
UKIOA KWA CORLONE HUTAKIWI KUMPGA WIFE! SONI ATAKUPA KCHAPO HADI UJUTE!
raha zaidi usome kitabu thdn uchek na movie!
 
Mkuu mahina veterani,unamaanisha sony alivyokuwa anamgegeda lucy ofisini au?
 
Back
Top Bottom