Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
My favorite novels & movie. Napenda mzee Vito na Michael walivyo cool. Novel nzuri kuliko movie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Old mustache Pete walikuwa na mwiko wa drugs ingawa walikuwapo waliofanya kipindi hicho kama carmine"lillo"galante alipokuwa under boss wa genovess ndo ndio kitu kilicho mpeleka jela.Anapenda sana sigara chain smoker hata siku kapigwa risasi na kuuwawa walkuta kauma fegi.Tafuta my life in the mafia ya vincent teresa ni true story ila imekaa uzuri humo itakupeleka mpaka kwa kina Marco pollo(trigger mike)Thomas luchese(three fingers brown)vincent alikuwa new England chini ya Raymond patriaca na Henry tameleo(the referee).
Mkuu Consigliere nilikuwa namkubali sana kwa ushauri wake.Lakini Michael alikuwa kiboko, cool lakini dangerous. Mpaka dada yake alikuwa anamuogopa, alivyongojea baba yake afe ndio amuue shemeji yake.
Mkuu unaonekana unajua kuhusu American Mafia. Carmine "Lillo" Galante au "the cigar" alikuwa mojawapo wa mabosi walioogopewa sana. Alianzia kwenye familia ya Genovese lakini baadaye aliingia kwenye familia ya Bonnano akianza kama dereva wa bosi Joseph "Joe Bananas" Bonnano kisha akawa capo baadaye underboss. Jamaa alikuwa anaogopewa kiasi kwamba alipokuwa jela akitaka kupiga simu alikuwa hakai kwenye foleni kama wengine bali huenda moja kwa moja hadi kwenye simu na kumnyang'anya simu mtu anayetumia, akishamaliza ndio na wengine wanatumia.
Baada ya kutoka jela akaendelea na biashara yake ya drugs lakini akawa hataki ku-share mapato ya biashara na mabosi wengine kama ilivyokuwa ada kwa Mafia. Pia alichukua kwa nguvu ubosi wa familia ya Bonnano kutoka kwa Phillip "rusty" Rastelli aliyekuwa amefungwa jela. Basi mabosi wengine wa familia za New York wakaamua kuwa jamaa lazima aondoke. Hitmen wakamfuata kwenye mgahawa unaoitwa Joe & Mary's alipokuwa anakula lunch na kummininia shaba za kutosha na hapo ukawa ndio mwisho wake.
Don alimwambia bonasera why ulienda kwanza polisi na sio kwangu! Ungewahahi kuja kwangu hao wahuni wangekua wanalia siku nzima! Corleone alikua mtata hasa!
Kuna movie yake au documentary ?
The GoodKuna member humu kwa jamvi kasoma hyo novel au tazama movie yake. Tujikumbushie hapa! Welcome