The Godfather ya Mario Puzo

The Godfather ya Mario Puzo

Kuna yule producer wa filamu alimnyima deal johny fontane,akampuuza hadi don mwenyewe. Asubuhi akakuta kichwa cha farasi wake wa gharama kikiwa kitandani pake! Hapo hapo ikabidi ampe dogo deal! Hyo ndo inawezekana ile "an ofeer he couldnt refuse'
 
kwani wewe ndo badae ukaitwa thom heagen?


Tom Hagen alikuwa weak consigliere. In pronciple, consigliere have to come from Italian blood, lakini Tom alikuwa German-Irish, that is why, alishindwa kuendana na mabadiliko ya Corleone Family, ilifika kipindi Michael akamwambia "You are out"

Ukilinganisha na Genco Abandando, he was good Italian Consigliere.... Ndio maana Goodfather aliweza ku-build good empare under Genco lakini si kwa Michael under Tom...
 
Film ya Godfather ilikuwa inaelezea real life ya Gambino Family...
 
film ya godfather ilikuwa inaelezea real life ya gambino family...

kweli kuna mtu alikua kama don? Mzee alikua na empire hadi sicily kule alikoenda jificha michael ambako kipindi anarud us ilibid arudi na salvatore'turi
 
Kitu Luca brass, funaci, the tatanglia family, peter clemenza, tesio, na misemo ya don: a man who does not take care of his family is not a real man.
mi nilijua ni spend time with his family..kumbe ni take care of his family..
 
nah, jamaa ana novel.Haven't read it bado.i bet its awesome as usual right


yap.jamaa habahatishi. kuna kpande k1 jamaa et anajifunza ununda kutokana na mji aloenda ulivyo. akaanza kwa kumpora gay saa.!
 
Mkuu mahina veterani,unamaanisha sony alivyokuwa anamgegeda lucy ofisini au?

...Lucy alikuwa na Tatizo la Papuchi yake kuwa na Shimo Kuuubwa halafu Sonny alikuwa na Mdushelele uliokwenda Shule kwa hiyo kila mara Lucy akawa anampelekea Jamaa mzigo ili atoshelezwe!
Baadae Lucy alikutana na Dakitari Fulani akamfanyia Uparesheni ya Kupunguza Ukubwa wa Shimo halafu baada ya Oparesheni dakitari (sikumbuki jina lake!) ndio akapewa Ujiko wa kuwa wa Kwanza kutesti Shimo jipya!!!
Mario Puzo was a Great Story teller!

 
yani soni alikua anatoka kwake kwenda kumtetea dada yake aliyekuwa anadundwa! what a family love!

...Ile issue ilipangwa. Moja kati ya zile family nyingine ilifahamu kuwa Sonny akisikia tu Dada yake kapigwa na Mumewe basi anatoka mbio kwenda huko na kumpa kichapo Shemeji yake. Ile siku ya mwisho wakamuambia yule shemeji ampige na kumtukana yule binti ambaye akapiga simu iliyokuwa jikoni nyumbani kwao akitegemea kuwa angejibu mama yake ili amuambie amtumie gari la kumchukua.

Simu ikajibiwa na Sonny aliyekuwa anapita. Ile kumsikia tu dada yake analia huku akiomba aongee na mama, Sonny hakutaka kusikia nini wala nini, akaweka simu chini na kutoka mkuku kwenda kumshughulikia shemeji yake lakini akakuta Njemba zinamsubiri kwenye Mizani na kumshindilia risasi kama Mia moja hivi!

Baadae Michael alimbana Shemeji mtu hadi akakubali kuwa alitumiwa ili kusababisha kifo cha Sonny. Michael akajifanya kama amemsamehe na kumtaka aandamane na Mtu ili akapewe kazi Nyingine! Ikawa ndio safari yake ya Mwisho Duniani!!
 
Back
Top Bottom