The Great Thinkers, kwa hili Judgement nimechemsha! Nyie je ?

The Great Thinkers, kwa hili Judgement nimechemsha! Nyie je ?

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,789
Wadau,
Leo ni tarehe 2.04.2012 (Monday)
Ambayo siku hii itatuchukua hadi saa 11 : 59 pm usiku ndiyo itakua mwisho wa siku na tarehe ya leo.
Itakapofika saa 12 : 01 am hiyo itakua ni tarehe 03.04.2012 (Tuesday)
Tatizo langu hapa ni pale mishale ya saa inaposoma saa 12 : 00 (saa sita kamili usiku)
Hapo itakua ni siku ipi ?
Ni tarehe 02 bado leo? au tarehe 03 kesho ?
Ni pm au am ?
Mtoto akizaliwa hapo itakua kazaliwa tarehe ngapi ?
 
Kijana inakuwa ni 12.00 am ya tarehe 3 April 2012
 
B52 bado natafakari jibu lako!
Ingawa sidhani jibu liko cmpo kiivo
Hahahaaa mwambie Husny ikifika saa 11.59 pm akuamshe muangalie saa itakapofika saa 12.00 itakuwa a.m au p.m na itakuwa tarehe ngapi....
Kama mtasahau nitawaamsha muda huo
 
Hahahaaa mwambie Husny ikifika saa 11.59 pm akuamshe muangalie saa itakapofika saa 12.00 itakuwa a.m au p.m na itakuwa tarehe ngapi....
Kama mtasahau nitawaamsha muda huo

shem ikifika huo muda UtuDIPU.
 
switii, tusipofanya hivyo italeta shida kwa mtoto.

Umeiona eeh ! Wajane na wasimbe nawaonea sana huruma !
Nasikia UN wanafikiria nao wapatiwe siku yao maadhimisho.
 
Back
Top Bottom