The Great Thinkers, kwa hili Judgement nimechemsha! Nyie je ?

The Great Thinkers, kwa hili Judgement nimechemsha! Nyie je ?

Shiiiiiiiiii !
Beiiybe usisemeseme mda wetu tutalogwa!
Kuna watu humu kila siku wanatafuta mayai ya Bundi !
Hahahaa utashngaa ushajipanga kuanza mashambulizi kitu holaaaaa kukuruka holaaaaaaaa
Dah lazma ujue hapo Uporoto kafanya mambo....
Hahahaaaaaaa
 
Tumia variable kama kwenye String Theory utapata jibu.
 
Back
Top Bottom