tutamwambia dokta anichelewesha dakika moja ili kusiwe na utata.Mtoto akizaliwa hapo itakua kazaliwa tarehe ngapi ?
Ha ha ha ha, unataka kuwa mnajimu?
Hahahaaa mwambie Husny ikifika saa 11.59 pm akuamshe muangalie saa itakapofika saa 12.00 itakuwa a.m au p.m na itakuwa tarehe ngapi....B52 bado natafakari jibu lako!
Ingawa sidhani jibu liko cmpo kiivo
Hahahaaaaa vijana hawataki mchezosiunajua shehe yahaya kafa kijana anataka kuchukua kijiti cha yahaya..
Naona Bagah ndo umetoka kwenye makusanyo yako ya PThivi hii topic ilikua inaitwaje?
Hahahaaa mwambie Husny ikifika saa 11.59 pm akuamshe muangalie saa itakapofika saa 12.00 itakuwa a.m au p.m na itakuwa tarehe ngapi....
Kama mtasahau nitawaamsha muda huo
Mke huu utani unaontania mchana , utakugharimu usiku , ohooo! Tangu lini saa ikaahirishwa ?
Kwani mtakuwa mshamaliza ile kitu ya mid night?shem ikifika huo muda UtuDIPU.
Heri Dogo Janja....Kuliko kubwa jinga....Joshua Nassari .
Swali jingine pliz!