Kwani mtakuwa mshamaliza ile kitu ya mid night?
Umeiona eeh ! Wajane na wasimbe nawaonea sana huruma !
Nasikia UN wanafikiria nao wapatiwe siku yao maadhimisho.
Hahahaaa mbona mapema au kwa kuwa bado hamna wa kulialia..?ndio tunamalizia sahivi.
Hahahaa utashngaa ushajipanga kuanza mashambulizi kitu holaaaaa kukuruka holaaaaaaaaShiiiiiiiiii !
Beiiybe usisemeseme mda wetu tutalogwa!
Kuna watu humu kila siku wanatafuta mayai ya Bundi !