The Greatest JF intelligent man

Mleta mada alileta observation yake kama ndiyo final say ndiyo maana wakatokea wengine kusema hakuna lolote hapo.

Si ndiyo mjadala unavyokuwa?

Kwamba ukiwasilisha mawazo yako kwa hadhira basi tegemea maoni zofauti.

Na hapa ndipo walipoibuka wanaosema no.....wapo wajuvi zaidi.

Usipokuwa free thinker huwezi ona hili.
 
Exactly...

Na watu wakija na mitazamo tofauti eti wanaonekana wana chuki, ni maadui... seriously?

Mtu anaingiza mapenzi kwenye ishu serious.

If you can't handle constructive criticism then u better be dead coz the chances for survival are minimal. Utaachwa nyuma katika huu ulimwengu

Watanzania bado tuna safari ndefu sana ya kujikwamua kifikra.

Asante Mwelewa kwa input yako
 
Bold ..explain about indhira Gandhi and samora machela assasination
 
Huyu jamaa The Bold sio mtu wa mchezo mchezo hata nam nlitaman kumpa hata tuzo nmekuwa naburudika na kujfunza sana kuptia makala zake humu JF ila bhana nlmulza habar za ile vipepeo weusi mpaka leo hajanijb sijui vp natamn kusoma inayoendelea nifike mwisho ikawaje....

Hongera sana The Bold
 
Kiranga is a true genius. Ana produce new ideas

Huyu the bold anadesa wikipedia na documentaries za Histroy Channel mnamwita intelligent

Wabongo kuwadanganya ni rahisi sana
Acha wivu jamaa ana akil wangap humu wanaenda uko net wanacopy na kupastr uyo boss wenu max kaleta habat za freemason humu kacopy kama zilvo na kuweka humu tena kwa kingereza kma ana akil mbn kashindwa kuchambua...The bold kiboko yao anakuelezea had unajiona ww upo ndan ya tukio una shuhudia acha wivu kijana au kakuchukulia demu wako?? LONG LIVE THE BOLD
 
Kiranga is a true genius. Ana produce new ideas

Huyu the bold anadesa wikipedia na documentaries za Histroy Channel mnamwita intelligent

Wabongo kuwadanganya ni rahisi sana
Acha wivu kijana ...boss wenu max kacopy kuhusu freemasonry kashindwa hata kuchambua mkamwita anajua zaidi ya sheikh yahya.....
The bold anachambua tena anawafanya watanzania wote wanaelewa had unajihisi upo ndan ya tukio una shuhudia ...

LONG LIVE THE BOLD
 
Upo sahihi kwa asilimia zote ......Jamaaa ni story teller mzuri tu. But arguments sijamuona sana ila hao uliotaja wapo safi sana
 
Wewe ni die hard fan,nicheki PM nikupe mawasiliano ya WhatsApp nikutumie yoteeee hadi mwisho.
Karibu.
 
In all fairness, I would like to commend Kiranga. Kiranga and Ngabu made me see the uniqueness of JF
 
Wewe ni die hard fan,nicheki PM nikupe mawasiliano ya WhatsApp nikutumie yoteeee hadi mwisho.
Karibu.
Haaaa haaa...

Ila mods wa sasa hivi hawataki ujinga aseee...

Haaaa haaaa acha nicheke mie..
 
Upo sahihi kwa asilimia zote ......Jamaaa ni story teller mzuri tu. But arguments sijamuona sana ila hao uliotaja wapo safi sana
Yes brethren

Ndiyo ukweli huo.

Mkuu Kiranga alikuwa vizuri. At least miongoni mwa members wa JF.

Kuwaza logically tena in a consistent manner......maan sio mbaya kumpa big up

Visa anavyotoa mkuu The Bold are readily available on the internet.

Tena kwa sababu yeye anavipata hivi visa na kufanyia tafsiri basi naweza kusema ubora unapungua kiasi fulani tofauti ilivyosimuliwa kwa lugha ya awali

Pia kutafsiri kisa fulani toka vyanzo vingine haihusishi sana critical thinking ambayo kwa mtazamo wa wazi kabisa ndiyo chachu ya intelligence yenyewe.

Kwa mfano ukisoma kitabu cha Gideon's Spies au Spies Against Armageddon utaona vile mambo ya ujasusi yanavyosimuliwa na waandishi original wa visa husika.

Kuchukulia mambo in a superficial way sio namna nzuri ya kufikiri.

Cheers!!!
 
Brother may u share thoze writtngs......?
 

The Bold

i am the one who created this thread to give you this unique and special respect.

i have been being on Jamiiforums for so long,i embrace there are some of other Great Thinkers.


at the first i admired people like Nguruvi and mag3 the way they come forward with their cogent arguments.

kiranga was good with bombastics,al watan is good at all,but all of them are very argumentative,the do not focus on giving us a knowledge.

You The Bold you give us knowledge,a huge knowledge and trust me many members are awere now with hot intelligence stories from you something we missed before.

above of all you're humble and not arrogant,on my side you are the greatest man because of knowledge you give us and your politeness,that's all.

those who say you just translate,why can't they?

i got your back.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…