The Greatest JF intelligent man

oxymoronic obfuscation by officious orangutans in Ottoman ombudsmen overdrive.

A calcified cantankerous cockamamie combat.
Duuhhh! Hii ni English language niliyoizoea au ni lugha inayofanana na kiingereza?

Lugha nitafute kamusi yangu kwanza!
 
 
Hakika ndugu

Ulimwengu wa taarifa umerahisishwa sana kutokana na kukua kwa teknolojia.....

Limebaki tu jukumu la mtu mwenye akili timamu kuweza kufaidika na maarifa hayo.....

Kupitia video za YouTube nimejifunza mengi sana pasipo na kulipia ada yoyote ambayo kiuhalisia ningelipia hela nyingi sana kujifunza hayo katika mazingira ya Tanzania......
Achilia mbali taarifa na maarifa mbali niliyoyapta huko mitandaoni.....
Binafsi siwezi kumutia mtu ni intelligent kwa kusimulia yale aliyoyasoma ambayo yameandikwa na wengine....na kama huko ndiko kuwa intelligent basi sisi tuna tafsiri yetu ya hilo neno "Intelligence "
 

Ni kweli kabisa.

Kuleta mambo niliyoyasoma kwenye jarida la Time na kutafsiri nilichokisoma kwa lugha ya Kiswahili siyo kuwa 'intelligent' [ingawa naweza kuwa mtu niliye intelligent lakini si kwa sababu nimetafsiri kitu kutoka Kiingereza kuja Kiswahili].

Hapo ninachoweza kupongeza labda ni effort tu iliyotumika katika kuileta na kuiweka hiyo makala katika lugha ya Kiswahili.

Nikiangalia documentary ya Latin Kings kama hiyo hapo chini halafu nije nisimulie humu, how does that make me an intelligent person?


Kupitia YouTube unaweza hata kusoma kozi nzima ya anatomy, unaweza hata kuona namna watoto wanavyozaliwa iwe kwa njia ya kawaida au ya upasuaji, unaweza kujifunza kuhusu Secret Service, jinsi ikulu ya Marekani ilivyo, jinsi ndege zinavyotengenezwa, na kadhalika.

Na kupitia search engines unaweza kujifunza karibu kila kitu ili mradi tu kiwepo mtandaoni. Cha muhimu ni ujanja wako tu. Yaani ujue namna ya kutafuta vitu/ kufanya tafiti/ kujua wapi pa kwenda kupata taarifa gani na kadhalika.

So I agree with you. Researching and presenting other people's works, doesn't mean that you are, ipso facto, intelligent.
 

Mkuu umeongea kitu muhimu sana, naheshimu kipawa kikubwa cha uandishi wa The Bold.

Kwenye critical thinkers I salute Kiranga, barafu. zamani kuna jamaa alikuwa anajiita Pundit simwoni akipost siku hizi....wapo wengine wengi wenye uwezo mkubwa.
 
Mkuu umeongea kitu muhimu sana, naheshimu kipawa kikubwa cha uandishi wa The Bold.

Kwenye critical thinkers I salute Kiranga, barafu. zamani kuna jamaa alikuwa anajiita Pundit simwoni akipost siku hizi....wapo wengine wengi wenye uwezo mkubwa.
nguruvi pia
 

Naonaling umetubagualing kunakotukukaling ' kimtindoling ' tusiojualing Kiingerezaling humuling jamviniling Mkuuling.
 
even for my test kiranga he was slick, mostly he based on logical thinking and reasoning which is what i likes too... by the way, where is kiranga anywhere?
i don't see his post or comments for almost a one year and six,
heard he left JF..?
 
mondray

a man is great!

for sure he is very Briliant man na very humble man I respect him
(Kwa kuogopa kung'ata ulimi naomba niepuka hiyo lugha ya malkia)


Mkuu,


Nashukuru sana kwa shukrani na pongezi hizi... am really humbled!

Japokuwa natofautiana nawe na sidhani kama mimi ndio "the most intelligent" humu JF! Lakini naheshimu mawazo yako na heshima hii uliyonipa...


Kuwa "The Bold" kuna gharama yake... Unapata maadui ambao hata hukumbuki kama mmewahi kukosana... Utatukanwa matusi na watu ambao hujawahi hata kumquote kwenye Uzi wowote... Kuna watu watakuchukia ilhali haujawahi hata kumjua jina... That's the price of being "the bold"

Mfano mzuri watazame hao hapo juu wanao haha kuprove why The Bold sio intelligent...

Kutokana na huu "unyonge" wangu ndio maana huwezi kunikuta kwenye majukwaa ya siasa na majukwaa yenye "Fujo" nyingi... Unyonge wangu huwa unanifanya mtu akinipiga Kofi shavu la kushoto, nigeuze na la kulia.... Akitukana, siwezi kujibu...
Kwa mwendo huu nitaliwezaje jukwaa la "watemi" kama Jukwaa la Siasa???


Unyonge wangu ndio unanifanya nijifungie kwenye chumba changu cha sirini, ndani ya nafsi yangu, kwenye ulimwengu wa peke yangu... Sehemu pekee ambayo naweza kufanya nitakacho... Kuumba nitakacho, kufikiri nitakacho... Ulimwengu ambao unyonge wangu unapotea na pekee ninachokiona ni excellence and distinction... Yawezekana ni ulimwengu wa kufikirika tu, lakini ndio ulimwengu unanifanya nijihisi nimeketi na wafalme... Ulimwengu wa UANDISHI.!


Kama nilivyosema... I'm not "the most intelligent man" in here... And I don't wish to be!!
Lakini kama huwa unajumuika nami katika huo "ulimwengu" wangu na hiki ndicho ulichokiona... Nashukuru sana.... Ubarikiwe!


Nawapenda wote! All of JF... Salute
 

OMG! Niseme nini sasa? Asante Mungu kwa huyu Bold...
Naam,maadui ni wengi lakini wewe piga kazi tu.

Nakumbuka ulipoanza wengi wa maadui walikuwa wakikusifu na kukupamba,sifa zilipozidi kumiminika kila pembe hii ya JF wengi wamegeuka maadui.
Lakini hii yote isikukatishe tamaa baba...endelea kuchapa kazi bila kujali.
Am proud of you [emoji8] [emoji122] [emoji122]
 
dada auchezi mbali na buyu la asali...!
 

Boss ningekuwa na ukarimu japo robo ya ulionao ningekuwa mbali sana. Yani mtu anasoma maandishi yako hadi mishipa ya ufahamu inasisimuka.

Salute sana mkuu The bold !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…