Tozii Nyambii
Senior Member
- Apr 1, 2017
- 144
- 77
Me too much appreciation to him
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuhhh! Hii ni English language niliyoizoea au ni lugha inayofanana na kiingereza?oxymoronic obfuscation by officious orangutans in Ottoman ombudsmen overdrive.
A calcified cantankerous cockamamie combat.
Hapa JF aliwahi tokea mtu mwenye uwezo mkubwa sana wakufikiri......si mwingine ni mkuu Kiranga.
Mwingine mwenye uwezo mkubwa wa kufikiri ni mkuu Nyani Ngabu.
Nafahamu Nyani Ngabu wakatimwingine anaweza kufanya mambo mengi ya utani tu laini huyu jamaa anauwezo mkubwa
Pia member anayeitwa Deception (sijui yupo wapi siku hizi) naye anaweza kujenga hoja sana.
Mwingine ni mkuu ONTARIO anaweledi mzuri kwenye business na ujasiriamali. Pia anaweza sana kusimulia tukio fulani kwa weledi
Member mwingine ni Al-Watan. Huyu anauwezo mkubwa kufikiri logically. Aina yake ya kufikiri ni kama Kiranga japo yeye hashiriki sana mijadala hapa
Pia kwenye hii list yangu namsifu The Bold anakipawa cha kusimulia makala za kijasusi anazozipata kwa msaada wa mtandao
Update
BIG UP KWA BARAFU
Hakika nduguKabisa!
Wengi sana wapo nyuma na hawajui hata wapi pa kujipatia taarifa mbalimbali achilia mbali kuwa na raghba ya kutaka kujifunza wasiyoyajua.
Siku nikija na makala kuhusu gangs za L.A.....Crips na Bloods na jinsi zinavyoendeshwa kama corporations si ajabu nitaonekana bonge la genius wakati mambo yote nimeyatoa mtandaoni...
Hakika ndugu
Ulimwengu wa taarifa umerahisishwa sana kutokana na kukua kwa teknolojia.....
Limebaki tu jukumu la mtu mwenye akili timamu kuweza kufaidika na maarifa hayo.....
Kupitia video za YouTube nimejifunza mengi sana pasipo na kulipia ada yoyote ambayo kiuhalisia ningelipia hela nyingi sana kujifunza hayo katika mazingira ya Tanzania......
Achilia mbali taarifa na maarifa mbali niliyoyapta huko mitandaoni.....
Binafsi siwezi kumutia mtu ni intelligent kwa kusimulia yale aliyoyasoma ambayo yameandikwa na wengine....na kama huko ndiko kuwa intelligent basi sisi tuna tafsiri yetu ya hilo neno "Intelligence "
ila mtu mwenye high IQ kuliko.wote humu jf ni Lara1.
To be honest intelligence of our beloved the bold is limited to what he writes in the thread which are not product of his own creativity but he might be copying from other global sources.
The bold is the best and most intelligent writer in JF. I think this is the scope of his intelligence.
Because I have never seen him participating in logical and critical thinking based discussions I won't say anything beyond what I have seen.
I wish one day to have that superintelligence in writing things as the bold is doing.
Kiranga, was the best also
nguruvi piaMkuu umeongea kitu muhimu sana, naheshimu kipawa kikubwa cha uandishi wa The Bold.
Kwenye critical thinkers I salute Kiranga, barafu. zamani kuna jamaa alikuwa anajiita Pundit simwoni akipost siku hizi....wapo wengine wengi wenye uwezo mkubwa.
nguruvi pia
Dah kweli kabisa mkuu Nguruvi ni mmoja wa wajuvi wa mambo...ila na nyani ngabu japo mtata mtata ila ni very critical ukimuingia kichwa kichwa uunakimbia😀😀
Hahahahaha leooo mtu kawekwa kikaangoni cc Nyani NgabuPINDAR - The Lizard King
Fata hiyo link hapo juu, utakutana na yoooote ambayo huwa anaelezea humu ndani The Bold. Usiwe mvivu kusoma tuu Kuna pages and pages unaweza soma miezi sita hujamaliza.
figures!it is better this thread to be posted...
i would like to take this moment to give honorable respects and on top maximum congratulations to The Bold.
This is the most intelligent person on JamiiForums,from this man i have got what a huge knowledge concerning the hottest intelligence issues.
i have not been seeing any one like him on intelligence stories and i think a lot of members admire him.
The better stories made me to write a congratulation special thread are "Kanali Muammar Gadafi 1942-2011" and "Utata wa Kifo Cha Raisi JF kennedy" but the most of his are the niciest ones.
Mods please do not reallocate my thread to another forum.
CC. The bold
even for my test kiranga he was slick, mostly he based on logical thinking and reasoning which is what i likes too... by the way, where is kiranga anywhere?To be honest intelligence of our beloved the bold is limited to what he writes in the thread which are not product of his own creativity but he might be copying from other global sources.
The bold is the best and most intelligent writer in JF. I think this is the scope of his intelligence.
Because I have never seen him participating in logical and critical thinking based discussions I won't say anything beyond what I have seen.
I wish one day to have that superintelligence in writing things as the bold is doing.
Kiranga, was the best also
mondray
a man is great!
(Kwa kuogopa kung'ata ulimi naomba niepuka hiyo lugha ya malkia)for sure he is very Briliant man na very humble man I respect him
(Kwa kuogopa kung'ata ulimi naomba niepuka hiyo lugha ya malkia)
Mkuu,
Nashukuru sana kwa shukrani na pongezi hizi... am really humbled!
Japokuwa natofautiana nawe na sidhani kama mimi ndio "the most intelligent" humu JF! Lakini naheshimu mawazo yako na heshima hii uliyonipa...
Kuwa "The Bold" kuna gharama yake... Unapata maadui ambayo hata hukumbuki kama mmewahi kukosana... Utatukanwa matusi na watu ambao hujawahi hata kumquote kwenye Uzi wowote... Kuna watu watakuchukia ilhali haujawahi hata kumjua jina... That's the price of being "the bold"
Mfano mzuri watazame hao hapo juu wanao haha kuprove why The Bold sio intelligent...
Kutokana na huu "unyonge" wangu ndio maana huwezi kunikuta kwenye majukwaa ya siasa na majukwaa yenye "Fujo" nyingi... Unyonge wangu huwa unanifanya mtu akinipiga Kofi shavu la kushoto, nigeuze na la kulia.... Akitukana, siwezi kujibu...
Kwa mwendo huu nitaliwezaje jukwaa la "watemi" kama Jukwaa la Siasa???
Unyonge wangu ndio unanifanya nijifungie kwenye chumba changu cha sirini, ndani ya nafsi yangu, kwenye ulimwengu wa peke yangu... Sehemu pekee ambayo naweza kufanya nitakacho... Kuumba nitakacho, kufikiri nitakacho... Ulimwengu ambao unyonge wangu unapotea na pekee ninachokiona ni excellence and distinction... Yawezekana ni ulimwengu wa kufikirika tu, lakini ndio ulimwengu unanifanya nijihisi nimeketi na wafalme... Ulimwengu wa UANDISHI.!
Kama nilivyosema... I'm not "the most intelligent man" in here... And I don't wish to be!!
Lakini kama huwa unajumuika nami katika huo "ulimwengu" wangu na hiki ndicho ulichokiona... Nashukuru sana.... Ubarikiwe!
Nawapenda wote! All of JF... Salute
dada auchezi mbali na buyu la asali...!OMG! Niseme nini sasa? Asante Mungu kwa huyu Bold...
Naam,maadui ni wengi lakini wewe piga kazi tu.
Nakumbuka ulipoanza wengi wa maadui walikuwa wakikusifu na kukupamba,sifa zilipozidi kumiminika kila pembe hii ya JF wengi wamegeuka maadui.
Lakini hii yote isikukatishe tamaa baba...endelea kuchapa kazi bila kujali.
Am proud of you [emoji8] [emoji122] [emoji122]
Naanzaje sasa? [emoji12]dada auchezi mbali na buyu la asali...!
(Kwa kuogopa kung'ata ulimi naomba niepuka hiyo lugha ya malkia)
Mkuu,
Nashukuru sana kwa shukrani na pongezi hizi... am really humbled!
Japokuwa natofautiana nawe na sidhani kama mimi ndio "the most intelligent" humu JF! Lakini naheshimu mawazo yako na heshima hii uliyonipa...