Jamaa huyu hakusubiri.. sema mambo yalikuwa hayamnyookei. Kaanza haso mdogo ila kafanikiwa ni babu.Sipati picha mtu unasubiria kufanya mambo uzeeni halafu yaende tofauti na hapo tayari ni mzee. Stress zake ni kama za huyu jamaa 'dr shika'.
Nilichukua kigezo cha umaarufu na kupendwa na ushawishi wake kwa watu hadi kuendelea kumfuata.Nimemuona. Ni kweli ni greatest man.
Hivi greatest na powerful ni sawa?
Ngoja mimi nikuletee the most powerful man n the earth.
Hakuzaliwa familia duni .Ukoo wa kifalme wa Daudi hakuweko maskini Wala mtu duniHeee Yesu alikua sio familia ya kifalme ila ni koo ya Ufalme..
Hawakuwa matajiri hata kidogo mkuu. Hata biblia inaelezea. Yesu alitakiwa azaliwe kwenye famili duni. Waisrael walikuwa wanategemea atatoka familia kubwa na maarufu ndio maana walimkataa kua sio yeye. Maana yesu waliyemuwaza sio aliyekuja
Wapo watu wanavipaji vikubwa sana. Sema huku kwetu ndio hivo huyo mtoto sana ataishia kupiga kinanda kwa kwaya tu. Lakini ingekua mbele huko angeendelea hata akavumbua mengi ya kimzki.Aisee kwenye piano umenigusa, kuna dogo mmoja pale makuburi kanisani, ni mtoto wa mtunzi wa nyimbo ndugu Mukasa!
Yule mtoto ana umri mdogo sana lakini anavyopiga piano hata baba yake hamfikii kwa kweli!
...akifikisha umri mkubwa nadhani atakuwa hatari sana!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hakuwa na elimu.kubwa??!!!!! Sio kweli .Aliyoyafindisha watu wanashinda vyuoni miaka kuyaelewaJapo Yesu hakuwa na elimu kubwa.....!!!!
Hii nitajitahidi kuielewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Yesu ni Mungu na Mungu hawezi kuwa maskiniKwahiyo Yesu alizaliwa familia ya kitajili?
Lete ushahidi wa kibiblia au mapokeo
Issa sio Yesu
Tusaidie kurani inasema vitabu vilivyotelemshwa Kuna torati,zaburi ,injili na kurani.Sifa unazozitaja hapo,zinapingana kabisa na uwezo wa Mungu
Kiufupi
Maneno yako yanakiri kabisa kuwa Yesu si Mungu wala Mwana wa Mungu,Bali Ni Mtume na Nabii kama alivyokuwa Mussa,Ibrahim,Nuuh na Mohammad (Sala na amani ziwe juu yao)
Sent using Jamii Forums mobile app
NdioSamahani kidogo
Unavyosema nyumba ya wageni ilikua imejaa unamaanisha "guest house"?