The Greatest Man in Universe: Kijana mdogo aliyefanya makubwa na kuacha alama akiwa na umri mdogo

The Greatest Man in Universe: Kijana mdogo aliyefanya makubwa na kuacha alama akiwa na umri mdogo

YEHODAYA,
Heee Yesu alikua sio familia ya kifalme ila ni koo ya Ufalme..
Hawakuwa matajiri hata kidogo mkuu. Hata biblia inaelezea. Yesu alitakiwa azaliwe kwenye famili duni. Waisrael walikuwa wanategemea atatoka familia kubwa na maarufu ndio maana walimkataa kua sio yeye. Maana yesu waliyemuwaza sio aliyekuja
 
Heee Yesu alikua sio familia ya kifalme ila ni koo ya Ufalme..
Hawakuwa matajiri hata kidogo mkuu. Hata biblia inaelezea. Yesu alitakiwa azaliwe kwenye famili duni. Waisrael walikuwa wanategemea atatoka familia kubwa na maarufu ndio maana walimkataa kua sio yeye. Maana yesu waliyemuwaza sio aliyekuja
Hakuzaliwa familia duni .Ukoo wa kifalme wa Daudi hakuweko maskini Wala mtu duni
 
Aisee kwenye piano umenigusa, kuna dogo mmoja pale makuburi kanisani, ni mtoto wa mtunzi wa nyimbo ndugu Mukasa!
Yule mtoto ana umri mdogo sana lakini anavyopiga piano hata baba yake hamfikii kwa kweli!
...akifikisha umri mkubwa nadhani atakuwa hatari sana!


Sent from my iPhone using JamiiForums
Wapo watu wanavipaji vikubwa sana. Sema huku kwetu ndio hivo huyo mtoto sana ataishia kupiga kinanda kwa kwaya tu. Lakini ingekua mbele huko angeendelea hata akavumbua mengi ya kimzki.

Mimi nilikua napenda sana kupiga piana na najua nina hiki kipaji. Nimejifunza ila sehemu ya kufanya mazoezi ilikua tabu. Ilibidi nistop na nimejiapiza nitaendelea tena mpaka siku nikinunua piano yangu. Nimebaki na elimu ya muziki tu
 
Kiukweli mimi sikubali, kwanini Yesu atushinde watu wote wakati alikuwa binadamu sawa kama sisi? Tunakosea wapi?


Yaani ww ni mmoja wa wakweli katika hili

Yesu ni Binaadam kama sisi,ila alichaguliwa na Mola na kupewa utukufu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi Waislam
Tuna amini na tutaendelea kuamini,Katika Viumbe Bora Duniani,kuliko Malaika,Majini,Wanyama nk

Ni hawa Wafauatao

NUUH
IBRAHIM
MUSSA
ISSA(YESU)
MOHAMMAD

Hawa ni bora na watazidi kuwa bora

Ila kuna wavurugaji katika Dunia ya sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo Yesu alizaliwa familia ya kitajili?
Lete ushahidi wa kibiblia au mapokeo
Yesu ni Mungu na Mungu hawezi kuwa maskini

Utajiri wa familia yake Ni kuwa Siku ya kuzaliwa hoteli ilikuwa imejaa pesa walikuwa nayo hivyo hawakuwa maskini.Maskini gani Ana pesa ya kulipia hoteli?

Familia yake ilikuwa na hadhi ya Hali ya just ndio maana hata zawadi mamajusi walizopeleka walipeleka dhahabu .

Herode alipotaka kumuua Yesu familia yake waliondoka kwenda nje ya nchi misri.Walikuwa watu wa kimataifa wenye uwezo mkubwa Pesa ilikuwepo ya kuishi nje ya nchi kwa kipindi kirefu .Wangekuwa maskini uwezo wa kwenda nje ya nchi na gharama za kuishi huko wasingeweza
 
Sifa unazozitaja hapo,zinapingana kabisa na uwezo wa Mungu

Kiufupi
Maneno yako yanakiri kabisa kuwa Yesu si Mungu wala Mwana wa Mungu,Bali Ni Mtume na Nabii kama alivyokuwa Mussa,Ibrahim,Nuuh na Mohammad (Sala na amani ziwe juu yao) YEHODAYA,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtoa mada hujaeleza wapi yesu alisave time ili na sisi tuige,umesifia tu time management.
vp muhamad yeye sio maarufu??
 
Sifa unazozitaja hapo,zinapingana kabisa na uwezo wa Mungu

Kiufupi
Maneno yako yanakiri kabisa kuwa Yesu si Mungu wala Mwana wa Mungu,Bali Ni Mtume na Nabii kama alivyokuwa Mussa,Ibrahim,Nuuh na Mohammad (Sala na amani ziwe juu yao)

Sent using Jamii Forums mobile app
Tusaidie kurani inasema vitabu vilivyotelemshwa Kuna torati,zaburi ,injili na kurani.

Kurani tunaiona.Hivyo vitabu Vingine viko wapi? Waislamu tuonyesheni
 
Maria hakuwahi kuwa na mume wala mchumba, hakuwahi kuingiliwa na mwanaume yoyote hivyo alikua bikra.

Alipata mimba ya Yesu akiwa bikra kwa kuogopa kuitwa mzinifu na kumtia aibu baba yake akajitenga mbali na familia na watu wake mpaka alipojifungua akarudi nyumbani na mtoto amabae ni Yesu.

Alivyoulizwa kapataje mtoto akawa hana majibu ya kushawishi wamuelewe kuwa kapata mtoto kwa uwezo wa Mungu bila kuingiliwa na mwanaume, hivyo akaashiria mtoto ajibu mwenyewe. Hapa pia ndio miujiza ya kwanza ya Yesu ilianza kwani aliongea akiwa pindi mtoto mchanga kabisa na kuelezea uzazi wake ulivyokua na kwa nini amekuja duniani.

Msisitizo. Yusufu na Bikra Maria hawakuwa na uhusiano. (Soma na uliza upate ukweli kwani mengi yalioandikwa hayapo sahihi)
 
Back
Top Bottom