The Greatest Man in Universe: Kijana mdogo aliyefanya makubwa na kuacha alama akiwa na umri mdogo

Mtu anabishana na Wikipedia sio mtu wa kubishana nae unamuacha tu.

Hata utumie efforts zako zote kumuelewesha hatakuelewa hata kidogo na ndio mana sikumjibu chochote aisee.

Hatari sana...!
Hukunijibu kwakua hujui.
 
Ahsante mkuu kwa kitabu hiki. Nitapitia..
Ila mkuu Yesu alikua ni mwanadamu 100%.
Alikua na background zaidi ya moja na alikua na Personalities zaidi ya moja..
 
duh! pale story za kufikirika 'myths'/ visasili zinapohadithiwa kama historia ya kweli..
we still have a long journey to go
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…