The Greatest Man in Universe: Kijana mdogo aliyefanya makubwa na kuacha alama akiwa na umri mdogo

The Greatest Man in Universe: Kijana mdogo aliyefanya makubwa na kuacha alama akiwa na umri mdogo

Sikutaka nimzungumzie kiimani.
Nimemzungumzia kama mtu tu wa kawaida ndio maana namwita ni mwanafalsafa.
Yesu ana personality 2 ambazo ni Uanadamu kwa 100% na Uungu kwa 100%.
Mimi nazungumzia yule Yesu mwanadamu.
100%+100%=? 1+1+1=? Kwa hiyo unakusudia kusema wanaadamu wengine hatuna personality mbili kama Yesu?
 
Da'Vinci,
Mkuu samahani naomba ufafanuzi kidogo juu ya elimu ya dini nasikia yesu mama ake bikra maria na huyu mama akuwahu guswa na mwanaume yoyote!sasa hapa inaonekana maria mumewe ni joseph na mtoto wao ni yesu ilikuakuaje hapa kwa hawa wanandoa .samahani mie sio mwandishi mzuri utanirekebisha.
 
Sisi Waislam
Tuna amini na tutaendelea kuamini,Katika Viumbe Bora Duniani,kuliko Malaika,Majini,Wanyama nk

Ni hawa Wafauatao

NUUH
IBRAHIM
MUSSA
ISSA(YESU)
MOHAMMAD

Hawa ni bora na watazidi kuwa bora

Ila kuna wavurugaji katika Dunia ya sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Yesu sio Issa.Issa alizaliwa chini ya mtende .Yesu alizaliwa kwenye hori la ng'ombe.

Yesu alikufa na kufufuka.Issa alipokata Roho hakuamka Hadi Leo.

Yesu na issa Ni watu wawili tofauti
 
Mkuu samahani naomba ufafanuzi kidogo juu ya elimu ya dini nasikia yesu mama ake bikra maria na huyu mama akuwahu guswa na mwanaume yoyote!sasa hapa inaonekana maria mumewe ni joseph na mtoto wao ni yesu ilikuakuaje hapa kwa hawa wanandoa .samahani mie sio mwandishi mzuri utanirekebisha
Mkuu mada yangu nimetaka kumzungumzia yesu kama mtu wa kawaida. Huko nitaenda kiimani zaidi namimi sitaki nimzungumzie Yesu kiimani ndani ya mada hii maana naweza zua mjadala mwingine
 
The only thing nachokiona kwenye huu uzi ni kwamba unajaribu kutuambia kwamba Jesus was just a human being.

I have read a lot of Dan Browns books, including The Da Vinci Code, things you are trying to tell us are so much aligned with what his books advocate.

Get time to read this book down here, you might change some of what you believe in.
 

Attachments

Wapo watu wanavipaji vikubwa sana. Sema huku kwetu ndio hivo huyo mtoto sana ataishia kupiga kinanda kwa kwaya tu. Lakini ingekua mbele huko angeendelea hata akavumbua mengi ya kimzki.

Mimi nilikua napenda sana kupiga piana na najua nina hiki kipaji. Nimejifunza ila sehemu ya kufanya mazoezi ilikua tabu. Ilibidi nistop na nimejiapiza nitaendelea tena mpaka siku nikinunua piano yangu. Nimebaki na elimu ya muziki tu

Kweli mkuu, mazingira yetu yanatuchelewesha au kutufelisha sana!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Shukrani 🙏
Sayansi na historia, husaidia kama baadhi ya vithibitisho kuwa Yesu ni mwana wa Mungu, Na Mungu yupo aliye umba dunia.
 
mkuu unaweza nijibu kama unajua kidogo.hahhaaaaahaaaaa kwani hili swali ni gumu
 
Mkuu mada yangu nimetaka kumzungumzia yesu kama mtu wa kawaida. Huko nitaenda kiimani zaidi namimi sitaki nimzungumzie Yesu kiimani ndani ya mada hii maana naweza zua mjadala mwingine
Kwa hiyo yesu baba yake joseph au nimeelewa vibaya
 
Kiukweli mimi sikubali, kwanini Yesu atushinde watu wote wakati alikuwa binadamu sawa kama sisi? Tunakosea wapi?


Yaani ww ni mmoja wa wakweli katika hili

Yesu ni Binaadam kama sisi,ila alichaguliwa na Mola na kupewa utukufu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Alichaguliwa na mola akuletee habar gani?
 
Hapo umemuekea Dunia inav
Hapo umemuekea dunia inavyotamumbua ila yeye anatambu Yesu ndo namba 1 kwa hiyo mtabishana ucku kucha

Mtu anabishana na Wikipedia sio mtu wa kubishana nae unamuacha tu.

Hata utumie efforts zako zote kumuelewesha hatakuelewa hata kidogo na ndio mana sikumjibu chochote aisee.

Hatari sana...!
 
Back
Top Bottom