The Greatest Tackle in Futbol

hata yeye anajua hilo, sema ndo hivyo anaona aibu kusema ukweli sababu Gang Chomba na Juve2012 watamwon mnafki.

Maneno yanakutoka mkulungwa, shwari lakini? Hivi Jacobus kapotelea wapi?
 
Last edited by a moderator:
kila mtu ana uhuru na haki ya kushabikia timu aipendayo...

CC: ALEYN
 
mimi ni nguli wa Milan ila penye ukweli pakifika domo langu litakupa jawabu

Ila mimi nakukubali sana, najua Kuanzia nusu fainal utamshangilia Lionel Messi na Barcelona kwa ujumla.
 
dhambi ulizo nazo hazitoshi naona unalundika nyingine sasa...
si hivyo ndio ukweli halisi.,la liga burudani,angalia waspain wanavyong'ara,hata Juve Morata si unamuona,Benitez anawapa uhai Napoli ktk michuano ya uefa ndogo,Herrera na Mata wanainyanyua Man Utd iliyopoteza hadhi yake,Cazorla pale Arsenal,Cesc na Costa Chelsea,Navas na Silva Man City,sambamba leo nina imani waspain 3 viungo pale Bayern ambao wanaanza leo watawaondoa Porto,Thiago Alcantara,Alonso na Juan Bernat.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…