Juve weupe tu
hata yeye anajua hilo, sema ndo hivyo anaona aibu kusema ukweli sababu Gang Chomba na Juve2012 watamwon mnafki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Juve weupe tu
Juve weupe tu
kila mtu ana uhuru na haki ya kushabikia timu aipendayo...
CC: ALEYN
Juve weupe tu
Hapa hii stage UCL ilipofika, wewe timu gani Mkuu?
mimi ni nguli wa Milan ila penye ukweli pakifika domo langu litakupa jawabu
muzee ya barca upo ndugu..Mkuu, ungekuwa miaka ya nyuma hapa JF ungefurahi na roho yako kwa maneno ya Gang Chomba.
muzee ya barca upo ndugu..
mimi mzima,juve hatii mguu kwa top 3 yoyote spain real,barca wala atletico madrid,na hata kwa valenciaMzima Sheikh?
mimi mzima,juve hatii mguu kwa top 3 yoyote spain real,barca wala atletico madrid,na hata kwa valencia
si hivyo ndio ukweli halisi.,la liga burudani,angalia waspain wanavyong'ara,hata Juve Morata si unamuona,Benitez anawapa uhai Napoli ktk michuano ya uefa ndogo,Herrera na Mata wanainyanyua Man Utd iliyopoteza hadhi yake,Cazorla pale Arsenal,Cesc na Costa Chelsea,Navas na Silva Man City,sambamba leo nina imani waspain 3 viungo pale Bayern ambao wanaanza leo watawaondoa Porto,Thiago Alcantara,Alonso na Juan Bernat.dhambi ulizo nazo hazitoshi naona unalundika nyingine sasa...
Mkuu nilitaraji Azam FC wangeleta MAPINDUZI ya KWELI katika soka letu lakini inanisikitisha mno kwa kukubali kuingia mtegoni mwa wanene wa TFF wa kuamua nani awe bingwa wa soka na sasa kiulaini nafasi ya pili wanawaachia ndugu zao.Welcome back, mizinguo ipi tena Mkuu?
Ila mimi nakukubali sana, najua Kuanzia nusu fainal utamshangilia Lionel Messi na Barcelona kwa ujumla.