The Greatest Tackle in Futbol

The Greatest Tackle in Futbol

hata yeye anajua hilo, sema ndo hivyo anaona aibu kusema ukweli sababu Gang Chomba na Juve2012 watamwon mnafki.

Maneno yanakutoka mkulungwa, shwari lakini? Hivi Jacobus kapotelea wapi?
 
Last edited by a moderator:
kila mtu ana uhuru na haki ya kushabikia timu aipendayo...

CC: ALEYN
 
dhambi ulizo nazo hazitoshi naona unalundika nyingine sasa...
si hivyo ndio ukweli halisi.,la liga burudani,angalia waspain wanavyong'ara,hata Juve Morata si unamuona,Benitez anawapa uhai Napoli ktk michuano ya uefa ndogo,Herrera na Mata wanainyanyua Man Utd iliyopoteza hadhi yake,Cazorla pale Arsenal,Cesc na Costa Chelsea,Navas na Silva Man City,sambamba leo nina imani waspain 3 viungo pale Bayern ambao wanaanza leo watawaondoa Porto,Thiago Alcantara,Alonso na Juan Bernat.
 
Back
Top Bottom