The Greatest Tackle in Futbol

The Greatest Tackle in Futbol

Fabio Cannavaro akiwa ball boy wa Napoli..alibahatika akapewa numba acheze na wakubwa..Dakika mbili tatu jamaa akampiga bonge moja la kuni Armando Maradona, chali..Makocha wakamjia juu dogo Fabio, wengine wakimtimua kabisa sababu jamaa alikua amekaa kichokoraa hivi! Diego akasimama huku anachechemea akasema mwacheni dogo aendelee kucheza na kuelekea chumba cha matibabu!! True Legend!!
 
Kuna mtu anaweza kusaidia kwa kuandika majina ya hawa watu wawili kwenye picha?

2wdar05.jpg

Maldini na Klinsmann..Weah always nita mrate behind Etoo na Drogba
 
Sasa katika hawa, huyo mweusi ndiyo nani?

Etoo anafaidi matunda ya MISIFA waliyopata Cameroon wakati wa kombe la dunia huko Italy.

Drogba wamekuja wakati Africa tayari wanaheshimika kimpira. Weah kaja kutoka nchi ndogo kimpira.

Ni sawa leo aje Star wa mpira kutoka Tanzania hadi achukue hizo zawadi, Ni ngumu sana. Nigeria, Cameroon, Ivory Coast, South Africa, Ghana, Guinea Conacry, Mali, DR Congo, Senegal na hizi nchi za Waarabu, wenzetu wana nafuu siku hizi.
Maldini na Klinsmann..Weah always nita mrate behind Etoo na Drogba
 
Mkuu Sikonge, kudos kwa kupenda 'vya nyumbani' na kuuweka uafrika mbele na sikujua kama wewe pia ni Nabii, basi kuanzia leo nitakua nakuita #Nabii Sikonge
Kwa wachezaji wetu wa Afrika hajapata kutokea mchezaji kama Weah, kama mchezaji, balozi na msafisha njia kwa vizazi vilivyofuata, alicheza mpira Ulaya katika mazingira magumu hasa ya ubaguzi wa rangi on and off the pitch, lakini kwa sababu ya kipaji chake hao jamaa waliona aibu, iliwalazimu tu kumpa anachostahili, na mpaka leo hii ndio mwafrika pekee aliyewahi kupewa tuzo ya mchezaji bora wa Dunia
Lakini soka sio siasa Mkuu, ukisema Weah ndio anastahili kuitwa King na sisi waafrika na sio hao wa mabara mengine, moja, huoni kama utakua unajenga hisia za wao Vs sisi, wao wazungu sisi waafrika? Na pili naona kama unakubali kijanjajanja kushindwa kuhusiana na hoja yako ya 'King' wako wa mara ya kwanza, Pele, sasa umeingia katika siasa za ukanda? (Nyerere angekuita kaburu mweusi)
Nadhani mpira ni tofauti na siasa ingawa wapo wapuuzi wachache kule Fifa wakiongozwa na yule mafioso Blatter, wanaoharibu image ya the beautiful game duniani, kwenye soka hatuna mipaka, hatuna rangi, ukanda, udini wala uzawa, huwezi walazimisha watu wapende mchezaji kwa sababu ya anapotoka, watu wanapenda wanachokiona uwanjani bila kujali huyu anatoka wapi, na wapo madogo humu ndani ambao hawakumuona George Weah, utawalazimisha?
 
Last edited by a moderator:
Sasa katika hawa, huyo mweusi ndiyo nani?

Etoo anafaidi matunda ya MISIFA waliyopata Cameroon wakati wa kombe la dunia huko Italy.

Drogba wamekuja wakati Africa tayari wanaheshimika kimpira. Weah kaja kutoka nchi ndogo kimpira.

Ni sawa leo aje Star wa mpira kutoka Tanzania hadi achukue hizo zawadi, Ni ngumu sana. Nigeria, Cameroon, Ivory Coast, South Africa, Ghana, Guinea Conacry, Mali, DR Congo, Senegal na hizi nchi za Waarabu, wenzetu wana nafuu siku hizi.

Africa bado hatueshimiki ki mpira na bado tupo nyuma sana, na tusipo angalia Asia itatupita...Hasa kwa saivi tuko kwenye barren spell..hatuna superstar yeyeto anayeongoza team kubwa ulaya zaidi ya Toure kwa sasa na yeye kashaanza kufulia...Brahimi mfaransa huyo!

Weah me sijui bana maana hata data zake za uchezaji hazipo makini zaidi ya miaka miwili aliyochezea milan na pia milan ilikataa ku renew contrct yake after 2 years. na alikua hafungi sana...Zaidi ya Miaka kumi nimewaona Etoo na Drogba wakiongoza club kubwa ulaya!!

Weah namuonaga tu kama poster child wa Fifa...Its well documented ushindi wake wa ballon d'or ulikua part of Fifa finding global identity! Nigeria wanakwambia Weah hajawahi fikia hata level ya Tony Yeboah ktk uchezaji..sasa sijui!
 
Kama huna DATA na hutaki kuzitafuta, sijui nikusaidie vipi. Endelea ku-BALEHE. Ukikuwa njoo barazani tujadili.

You keep crying, Baby Cry.....

swimaid_nappy_500.jpg

Africa bado hatueshimiki ki mpira na bado tupo nyuma sana, na tusipo angalia Asia itatupita...Hasa kwa saivi tuko kwenye barren spell..hatuna superstar yeyeto anayeongoza team kubwa ulaya zaidi ya Toure kwa sasa na yeye kashaanza kufulia...Brahimi mfaransa huyo!

Weah me sijui bana maana hata data zake za uchezaji hazipo makini zaidi ya miaka miwili aliyochezea milan na pia milan ilikataa ku renew contrct yake after 2 years. na alikua hafungi sana...Zaidi ya Miaka kumi nimewaona Etoo na Drogba wakiongoza club kubwa ulaya!!

Weah namuonaga tu kama poster child wa Fifa...Its well documented ushindi wake wa ballon d'or ulikua part of Fifa finding global identity! Nigeria wanakwambia Weah hajawahi fikia hata level ya Tony Yeboah ktk uchezaji..sasa sijui!
 
Tony Yeboah namkumbuka sana. Alikuwa akichezea German na UK, akitungua magoli kwa mguu wa kushoto. Tony Yeboay kwa kutumia UKABILA wake wa ASANTI, alisababisha mgomo kwenye timu ya Taifa ya Ghana baada ya Kocha kumpa Abedi Ayew Pele kuwa kiongozi/Captain wa timu na Pele hakuwa anatoka kabila kubwa la Ashanti kutoka Kumasi.

Abedi Pele ndiyo baba yake mzazi Andre Ayew na Jordan Ayew ambao wote wanachezea sasa timu ya Taifa ya Ghana.

Inavyokuja kwenye timu ya Taifa ya Ghana, aliyefunga magoli mengi ni Asamoah Gyan (46), Abedi Pele (33) na mwisho ni huyu Tony wako (29). Pia kumbuka Tony anapitwa na wachezaji wengi wa Africa kama Etoo na Drogba ulivyoandika.

King George Weah ni MCHEZAJI PEKEE wa Africa hadi leo hii aliyeshinda zawadi ya Mchezaji wa Mwaka, mwaka 1995.

Kuna watu wanakuja na visababu vya kijinga kama Ohh, tunabaguliwa. Weah alicheza wakati ubaguzi ndiyo ulikuwa mkali zaidi na sheria hazipo. Boni Winfrey wa Manchester City juzi tu kanunuliwa kwa mahela mengi. Kama wewe mzuri, bei itapanda. Kama Nigeria wanaona Tony alikuwa juu, basi wasikilize wao.

Ballon-d-Or-1995-George-Weah-Liberia_full_diapos_large.jpg

Weah namuonaga tu kama poster child wa Fifa...Its well documented ushindi wake wa ballon d'or ulikua part of Fifa finding global identity! Nigeria wanakwambia Weah hajawahi fikia hata level ya Tony Yeboah ktk uchezaji..sasa sijui!
 
Hapo kwa Zizou hakuna ubishi, kwa hizi karne mbili sijamuona kiungo kama Zizou
Neymar anacheza vizuri akitokea pembeni, Ronaldo alikua mshambuliaji wa kati, no.9, Ronaldo pamoja na skills alikua na nguvu na stamina ya ajabu kupasua kuta ngumu bila kuangukaanguka hovyo kama huyu dogo, ungesema Neymar kafanana mpira na Christina labla
Pele ni siasa tu, hamgusi hata Ronaldo de Lima huyo kigagula, alikua mshambuliaji design ya kina Inzaghi, Van Nesterooy, pele hakua na uwezo wa kupasua ukuta na skills kama za de Lima, alikua muoteaji tu kazi kubwa ilifanywa na wachezaji wasiopewa sifa leo hii kama Carlos Alberto na Garrincha na alifunga magoli mengi sana ambayo otherwise yalikua offside kutokana na sheria za kipuuzi za kipindi chake.
Mungu wa soccer anaitwa Diego Armando 'D10S' Maradona, hakuna pele wala upele. Kila skills unayoiona leo kwenye soka ilikua invented na Dios including ile chenga ya Zidane 360 au helicopter kwa jina jingine, what Pele could do with a football, Maradona could do it better with a golf ball
Mkuu umemzungumzia Pele kama vile alikuwa peke yake akicheza duniani kipindi hicho. Hivi hujiulizi kama ingelikuwa ni rahisi kiasi hicho iweje hakuna mchezaji mwingine mwenye rekodi inayokaribiana na ya pele kwa kipindi hicho wakati sheria zilikuwa zilezile kwa kila mchezaji. Huko juu umesema washambuliaji siku hizi wanalindwa kuliko zamani, sasa hujiulizi imekuwaje Pele aliweza kufanya aliyofanya bila ulinzi wanaopewa washambuliaji leo hii? Acha kumshushia heshima ze king of soka hata kama humpendi.
 
Ha ha ha ha ha ha ha hii ya Offside kutokuwepo ndo ilikuwa balaa, yaani mtu anavizia anavyotaka. Sasa atashindwa kuwa na Magoli 1,000.
Leo hii Mchezaji akiwa na miaka 34 tunasema kazeeka, mfano Puyol alistaafu kutokana na mikimiki ya uwanjani.
Pele kacheza na watu ambao wana miaka 40-50 sasa hapo atashindwa kuwakimbiza?
Wengine walishindwa kuvizia? Mbona kafunga yeye tu?
 
Kuna watu wanahusisha mpira na hisia zao binafsi, mtu atasema Pele hakuwa kitu kwa sababu hajawahi kucheza nje ya ligi ya Brazil. Hapo hapo atasema Messi ni bora zaidi kuwahi kutokea, Messi ambaye hajawahi kucheza club yoyote zaidi ya barca, na hajawahi kupata mafanikio yoyote ya maana akiwa na timu yake ya taifa.

Huwezi ku-reason kamwe na watu wa aina hii.
 
Labda wewe ndo umewamiss Ac Milan, timu ishakuwa kama Simba SC ya Tanzania. Milan alimpiga Barca San Siro gori 2-0 akafurahi sana, na posho wakamwagiwa za kutosha. Wakaona haitoshi, wakanunua magazeti yooote waisifie Milan kwa ushindi huo.
Heeeeeee!!!!! Si wakaenda Camp Nou bhanaaaaaaaaaaaa.

hah hah hah rejea Fainali ya Champions League ya mwaka 1994
 
Back
Top Bottom