ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,698
- 4,488
Hahahahaahah kwa hiyo wataxamaji wa mpira Chato wanajumuishwa na ng'ombe au mtaujazaje uwanja??Si bora uwanja wa chato ni mzuri na umkamilika japo wanafiki kama nyie wanataka kuuhujumu.
Mobutu alijenga sana infrastructure kama hizi ila sasa ni makazi ya popo na bundi.