The Hexagon Arusha Stadium, uwanja wa kisasa kabisa wa mpira wa miguu kujengwa Olmoton Arusha

Si bora uwanja wa chato ni mzuri na umkamilika japo wanafiki kama nyie wanataka kuuhujumu.
Hahahahaahah kwa hiyo wataxamaji wa mpira Chato wanajumuishwa na ng'ombe au mtaujazaje uwanja??
Mobutu alijenga sana infrastructure kama hizi ila sasa ni makazi ya popo na bundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…