The Highs & Lows katika burudani na 'ubuyu' 2016

Kwani kabla ya Diamond hakukuwa na muziki?
Muziki wetu umekuwa sababu ya ushindani,tuache mambo ya kuendekeza ushabiki.
Japo Diamond nae ana mchango wake ktk hili ila sio kusema bila Diamond hakuna BongoFlavour
 
Asante mkuu,nashukuru kwa ushauri.
Ukiangalia profile yangu nina muda mrefu sijatoa thread hasa zile za ubuyu,yote sababu ya blogs kukopy.

Natumia muda wangu kuandika & kuandaa halafu wengine wanachukua burebure it's kinda boring.
 
Kwani kabla ya Diamond hakukuwa na muziki?
Muziki wetu umekuwa sababu ya ushindani,tuache mambo ya kuendekeza ushabiki.
Japo Diamond nae ana mchango wake ktk hili ila sio kusema bila Diamond hakuna BongoFlavour
Mama unakumbuka kipindi Kanumba yuko hai namna ambavyo Ray alikuwa juu.. But unaona sasa alivyoporomoka mpaka tumemsahau kama anaexist??

The sama kwa Ali.! Siku Diamond asipokuwepo (Mungu aepushe) Ali tuna msahau..

Kama ilivyokuwa kwa Kanumba, sio yeye aliyeanzisha Movies, but mchango wake kwenye industry ulikuwa mkubwa kiasi kwamba kuondoka kwake kumefanya Bongo Movie ife..

The same kwa Chibu, yes hajaanzisha mziki but mchango wake ni mkubwa kiasi kwamba siku asipokuwepo, Bongo fleva wataisoma namba na kuelewa alikuwa anawabeba kiasi gani..
 
Interesting thread.....

Mange ana ujasiri very rare...
watu aina yake huwa wanaweza fika mbali sana
Thank you [emoji120] [emoji120] [emoji120]

Mange wa sasa namkubali sana.Natamani tungewapata diaspora 10 kama yeye wa kufanya kile anachokifanya sasa.

Ila hafanyi yale bila malengo,nimewahi kumsoma mara kadhaa akisema anataka kugombea ubunge mwaka 2020.
 
Hakuna kitu kama faru john, na wimbo wa komba ccm mbele kwa mbele 'wacha tuisome namba'.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] you can't be serious.

Ingekuwa hivyo basi matukio ya Lema,Max,na Ben Saanane yangekuwepo kwenye list.
 
sina neno zaidi ya kusema Akhsante Nifah na The bold nimekuwa shabiki wenu kwa muda mrefu sana ila naomba shukrani zangu zote nizikusanye na kuzitoa leo
 
Kwani kabla ya Diamond hakukuwa na muziki?
Muziki wetu umekuwa sababu ya ushindani,tuache mambo ya kuendekeza ushabiki.
Japo Diamond nae ana mchango wake ktk hili ila sio kusema bila Diamond hakuna BongoFlavour
Usinichukulie Kishabiki Maana Yangu Ni Nzuri Tu, Na Ninaposema Muziki Wa Tanzania Haujakua Namaanisha,

- Wasanii Wa Tanzania Hawana Hits Zozote Nje Ya Nchi, Isipokuwa Kenya ( Kitu Ambacho Tangu Zamani kiko Hivyo )

- Fedha Wanazolipwa Wasanii Ni Kidogo Mno Kama Zamani Tu.Msanii Mchanga Tu Na Wa Juzi Tu Kama Tecno Analipwa Pesa Kubwa Na Kupewa Uzito Mkubwa Kwenye Matamasha Yetu Kuliko Wasanii Wetu Wakubwa. Tecno Ni Sawa Tu Na Kina Baraka Na Nuh Mziwanda

- Bado Makampuni Hayawaamini Wasanii Ndio Maana Msanii Mkubwa Kama Alikiba Hana Endorsement Yoyote Wakati Nigeria Korede Belo Tu Ana Lundo La Endorsement.

- Wasanii Wetu Hawapati Matamasha Makubwa Ya Heshima Ng'ambo

- Bado Unapofanya Collabo Na Wao, Wao Ndio Wanaopata Faida Kubwa.
 
Huu Ndio Ukweli Mchungu. Muziki Wa Tanzania Haujakua, Aliyefanikiwa Kukuza Kidogo Muziki Wake Ni Diamond

- The Same Applies To Bongo Movie, Hazijawahi Kukua Ila Kanumba Alijitahidi Kukuza Za Kwake. Nakumbuka Hadi Ray Aliwahi Kutoa Movie inaitwa " From China With True Love" Leo Movie Imeenda Na Kanumba. Wasanii Wapunguze Beef Na Sifa Wajifunze Na Wafanye Kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…