Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
- Thread starter
- #41
Kwani kabla ya Diamond hakukuwa na muziki?Mimi Ninachokiona Muziki Uliokuwa Sio Wa Tanzania Bali Ni Muziki Wa Diamond
- Hata Muvi Tuliwahi Kusema, Filamu Zetu Zimekuwa Kumbe Movie Zilizokuwa Zimekuwa Ni Movie Za Kanumba, Leo Kanumba Hayupo Kila Mtu Anajua Kinachotokea
- Hata Leo Diamond Aseme Anaacha Kuimba, Muziki Unakosa Hamasa Kama Muvi
Muziki wetu umekuwa sababu ya ushindani,tuache mambo ya kuendekeza ushabiki.
Japo Diamond nae ana mchango wake ktk hili ila sio kusema bila Diamond hakuna BongoFlavour