The Highs & Lows katika burudani na 'ubuyu' 2016

On behalf of myself naomba mrudishiane avatar zenu coz mnanichanganya kwa kua ni miongoni mwa watu huku ninaowatambua kwa avatar zaid kuliko id's zenu, plz
Sawa Mkuu! Soon tunafanya hivyo..
 
Me Leo zimenichanganya Dp zenu maana ukisoma unajua huyu muandishi ni Nifah au The Bold ila Dp unaona vingine ila " I like da chemistry" # The bold's
 
Sa si unaona m najua ana respond nifah kwa sauti nyororo kumbe wewe kiongozi na sauti yako kav ka nn?? Hahahaaaa...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23]

Daaaahh itabidi tufanye hivyo haraka..
 

Asante sana kwa pongezi...
Ni kweli,nilifunga mitambo yangu ya kumuwezesha yeyote nje ya wale ninaowafollow kuona taarifa yoyote kwenye akaunti yangu.

Hivyo basi,kwa ombi hili nitarekebisha.
Baadae unaweza ukapitia tena na utakuta nyuzi zangu zote.
Karibu.
 
Hahahahah jamani, ujue we siku unapowekaga akili zako za asubuhi unakuwa mtamu sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa huu uzi lazima nipambwe sana.
Nashukuru mpenzi,mimi nawe hatujawahi kugombana japo tunatofautiana sana,kwahilo tu huwa nakuelewa binti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…