The Highs & Lows katika burudani na 'ubuyu' 2016

The Highs & Lows katika burudani na 'ubuyu' 2016

Me Leo zimenichanganya Dp zenu maana ukisoma unajua huyu muandishi ni Nifah au The Bold ila Dp unaona vingine ila " I like da chemistry" # The bold's
 
Sa si unaona m najua ana respond nifah kwa sauti nyororo kumbe wewe kiongozi na sauti yako kav ka nn?? Hahahaaaa...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23]

Daaaahh itabidi tufanye hivyo haraka..
 
Uchambuzi Mzuri... Hongera sana mkuu... USHAURI: Niliposoma uzi huu, nilivutiwa kupitia nyuzi zako zingine zaid, lakini sikukuta taarifa yoyote kwenye akaunti yako.... Kwa ajili ya kutuwezesha watu wachache kama si wengi kama mimi, si vibaya ukarekebisha mitambo yako Ili tuweze kupata kumbukumbu za nyuzi zako kirahisi zaidi. Yote Kwa Yote Kazi Nzuri.

Asante sana kwa pongezi...
Ni kweli,nilifunga mitambo yangu ya kumuwezesha yeyote nje ya wale ninaowafollow kuona taarifa yoyote kwenye akaunti yangu.

Hivyo basi,kwa ombi hili nitarekebisha.
Baadae unaweza ukapitia tena na utakuta nyuzi zangu zote.
Karibu.
 
Hahahahah jamani, ujue we siku unapowekaga akili zako za asubuhi unakuwa mtamu sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa huu uzi lazima nipambwe sana.
Nashukuru mpenzi,mimi nawe hatujawahi kugombana japo tunatofautiana sana,kwahilo tu huwa nakuelewa binti.
 
Back
Top Bottom